Asilimia zaidi ya 90 ya wanawake tunaooa SIO bikira SIO brand new ni second hand commodity.

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Sababu nyingine kubwa ya kwanini tusuioe / tusiwaowe wanawake wa leo !? Wengi wao walishatumika SIO bikira ni used tayari na ukioa mwanamke aliyetolewa usichana wake na mwanaume mwingine ule utukufu wa kumbikiri kibiblia unaenda kwà yule mwanamme mwingine na ndio maana mizozo haiishi kwasababu umeingilia utukufu wa kubikiri wa mwanaume mwingine!
 
Tufanyaje sasa? Second hand commodity hazina ubora?

Wewe ni brand new? Nawe si umebikiriwa na mwingine? Kwa nini usijihusishe wewe kwamba utukufu wa kubikiriwa umeenda kwa mwanamke mwingine tofauti na mkeo?

Woi.
 
Mkuu nimeipenda hiyo profile photo
 
Sababu nyingine kubwa ya kwanini tusuioe / tusiwaowe wanawake wa leo !? Wengi wao walishatumika SIO bikira ni used tayari na ukioa mwanamke aliyetolewa usichana wake na mwanaume mwingine ule utukufu wa kumbikiri kibiblia unaenda kwà yule mwanamme mwingine na ndio maana mizozo haiishi kwasababu umeingilia utukufu wa kubikiri wa mwanaume mwingine!
Mtolee mahari mtoto angali bado mdogo.
 
Back
Top Bottom