Asilimia zaidi ya 90 ya wanawake tunaooa SIO bikira SIO brand new ni second hand commodity.

Jitu limalize la saba, form four/six, chuo lipate ajira halafu litake ndoa ili liwe na familia ulikute bikira? Hawa wanaoshia la saba unaweza kupata bikira ila hawa wengine uhuni walishaujua kitambo. Dhana ya ubikira ni malezi ya dini na familia ambayo nayo imekuwa changamoto kwenye mifumo ya maisha ya kisasa kimaadili
 
Kama hukumkuta mkeo bikira basi jua huyo SIO mke wako pekee yako ni mwanamke wa jamii. Maana utukufu wa bikira yake umegawanywa kwà jamii nzima.[/QUOTE Ulikuwa unazunguka tu mbuyu ila kiuhalisia hapa ndipo penye wazo lako.

Tuachieni wasio mabikra tuwowe maana bikra tumechana bikra za kutosha lakini tabia ni 0.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sababu nyingine kubwa ya kwanini tusuioe / tusiwaowe wanawake wa leo !? Wengi wao walishatumika SIO bikira ni used tayari na ukioa mwanamke aliyetolewa usichana wake na mwanaume mwingine ule utukufu wa kumbikiri kibiblia unaenda kwà yule mwanamme mwingine na ndio maana mizozo haiishi kwasababu umeingilia utukufu wa kubikiri wa mwanaume mwingine!
Wewe ni bikra? Umeanza mapenzi ulipooa? Kama umeoa hata. Ukute you’re under 25. Kama wewe sio bikra ulikua unatembea na wanawake ambao umewaumba mwenyewe?

Yani wewe utumie wanawake watakaokuja kuwa wake za watu baadae utegemee utaletewa mke bikra kutoka mawinguni? Una uzima kichwani?
 
Wewe umekaza huki nyuma au ulichezewa na padri au mwalim wa madra.a?
Hao ndio wanaume tunaokutana nao siku hizi
Wape na wao ukweli wao maana wamekazana na wanawake kutwa. Wenyewe saizi hawana marinda, houseboys wao walishayatatua kwanza na sisi tuanzishe hizo mada uone watakavyo paparuka waseme wanakosewa adabu. Ila wao kuwatukana wanawake ni starehe
 
Je Mama, Dada, Shangazi zako waliolewa nazo?
So mamako, dadzako na shangazi Kama walikuwa malaya na wewe utaoa malaya sio

Means babako Kama alikuwa anamlandogo... Na wewe utakuwa unamla ndigo mkeo

BOTTOM LINE: Suala la mahusiano lako halihusiani na Ndugu zako tujifunze kujeshimu mipaka
 
Sababu nyingine kubwa ya kwanini tusuioe / tusiwaowe wanawake wa leo !? Wengi wao walishatumika SIO bikira ni used tayari na ukioa mwanamke aliyetolewa usichana wake na mwanaume mwingine ule utukufu wa kumbikiri kibiblia unaenda kwà yule mwanamme mwingine na ndio maana mizozo haiishi kwasababu umeingilia utukufu wa kubikiri wa mwanaume mwingine!
Maandiko mangapi ya hiyo Biblia huyafuati, unataka ufuatilie hilo moja
 
Sababu nyingine kubwa ya kwanini tusuioe / tusiwaowe wanawake wa leo !? Wengi wao walishatumika SIO bikira ni used tayari na ukioa mwanamke aliyetolewa usichana wake na mwanaume mwingine ule utukufu wa kumbikiri kibiblia unaenda kwà yule mwanamme mwingine na ndio maana mizozo haiishi kwasababu umeingilia utukufu wa kubikiri wa mwanaume mwingine!
Vipi wanaooa wajane?? Ama wajane nao wasiolewe kisa walishabikiriwa??
 
Sababu nyingine kubwa ya kwanini tusuioe / tusiwaowe wanawake wa leo !? Wengi wao walishatumika SIO bikira ni used tayari na ukioa mwanamke aliyetolewa usichana wake na mwanaume mwingine ule utukufu wa kumbikiri kibiblia unaenda kwà yule mwanamme mwingine na ndio maana mizozo haiishi kwasababu umeingilia utukufu wa kubikiri wa mwanaume mwingine!
Eti kibiblia🤣🤣🤣😂😂 umetisha mkuu.
 
Back
Top Bottom