Weka na reference ya andiko.Kum bikiri mwanamke wako ( mke wako) ni utukufu kibiblia.
Hiyo haimuhusu mleta Uzi maana hao uliowataja hapaswi kuwatoa yeye bikra.Je Mama, Dada, Shangazi zako waliolewa nazo?
Mkuu nimeipenda hiyo profile photoTufanyaje sasa? Second hand commodity hazina ubora?
Wewe ni brand new? Nawe si umebikiriwa na mwingine? Kwa nini usijihusishe wewe kwamba utukufu wa kubikiriwa umeenda kwa mwanamke mwingine tofauti na mkeo?
Woi.
Mtolee mahari mtoto angali bado mdogo.Sababu nyingine kubwa ya kwanini tusuioe / tusiwaowe wanawake wa leo !? Wengi wao walishatumika SIO bikira ni used tayari na ukioa mwanamke aliyetolewa usichana wake na mwanaume mwingine ule utukufu wa kumbikiri kibiblia unaenda kwà yule mwanamme mwingine na ndio maana mizozo haiishi kwasababu umeingilia utukufu wa kubikiri wa mwanaume mwingine!