Asilimia zaidi ya 90 ya wanawake tunaooa SIO bikira SIO brand new ni second hand commodity.

Brand new second hand.... Peter Tosh!
 
Wanaume wenyewe hata marinda siku hizi hawana
Tukisema ufanyike ukaguzi wa marinda kwa wanaume watu wengi wataaibika mno.

Tuvumiliane tu maana mambo ndo yashakuwa mengi na muda ni mchache
 
Chief, hii ni prejudice na hate sio hoja ya kuitumia kabisa. Hizi mada zinakosa hoja sasa maana zinatolewa bila kichwa wala miguu. Nikiangalia washikaji zangu wengine wanavyotamba kufanya uchafu na wanawake tofauti nadhani hii hoja haina mantiki kabisa. Kwakuwa kama sisi ndio tunawabug unategemea nani afanye debugging. Hapa naanza kuelewa kuwa wanaoleta hizi mada ni watoto wadogo au wanawachukia wanawake sio kwamba wanahoja yakinifu ya kukataa ndoa. Tuwabikiri sisi tena kwakujisifu halafu tujiite wasafi na tutake kisafi. Hii hoja haina mashiko.
 
Jiulize bikra ni nini? je mwanaume ana bikra na inakaa wapi?
 
Wanaume ni zaidi ya 300% kama zipo. Tuache kuwaonea mama na dada zetu. Jitathimini kwanza wewe; je unayo hiyo kitu?
 


Haya ni mawazo ya kimaskini na yakidharirishaji, kile kitu ni kiungo cha mwili, tena kina hisia, sasa unataka kisipate huduma yake?

Mbona ujatafuta mwanamke ambae meno yake ni bikra hayajawahi kusafishwa?
 
Kama hukumkuta mkeo bikira basi jua huyo SIO mke wako pekee yako ni mwanamke wa jamii. Maana utukufu wa bikira yake umegawanywa kwà jamii nzima.

Wakati huo na ww ni bikra au
 
Mtu akiache kipate kutu eti kisa anasubiria ndoa? Aaaah salaleeeee

Kila mtu ashinde mechi zake kikubwa pumzi!
 
Wanaume ni zaidi ya 300% kama zipo. Tuache kuwaonea mama na dada zetu. Jitathimini kwanza wewe; je unayo hiyo kitu?
Nadhani tunajibu hoja hii kwa mihemko!

Tangia lini mwanamme akawa na bikra jamani?

Hicho ni cheo na wadhifa wa kike.

Bikra ni sawa na kuongelea kuvunja ungo ambapo kwa mwanaume kuna neno lake.

Kibaiolojia na kijamii, siyo kila hatua inayofanyika katika mwili wa mwanamke na kwa mwanaume hufanyika pia.
 
Daah jua kali hizi pisi kali unataka ziwe na bikra kweli utani huo na ili iweje hasa...
 
bikira ..bikira.. Bikira ya nyoko .tengeneza ya kwako uwe unatembea nayo mfukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…