Asiyejulikana amjaza mlemavu mimba 6

Asiyejulikana amjaza mlemavu mimba 6

Kwani huyo mlemavu wa akili ana semaje kuhusu hilo..mmejaribu kumhoji

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Lakini hisia hizo unazitoa wapi za kulala na chizi halafu mlemavu? wakati watu wenye akili zao na viungo vilivyotimia wapo tele mtaani wanatafta wa kuwazalisha hawapati
 
Kwani uyo mlemavu wa akiri ana semaje kuhusu ilo..mme jarbu kumhoji

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
Ni kweli mkuu anaweza kuwa katika hali hiyo lakini pia akawatambua wanaomfanyia hivyo. wajaribu bahati.
 
kuna jamaa niliwahi msikia akisema ukiwaingilia vichaa au kuwapa papuchi wapata thawabu
 
Maneno yako ni yakipuuzi sana nilikua nakula nimetaka hadi kutapika kwa maneno yako ya hovyo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

One love
 
Halafu mnasema wanawake wana roho mbaya!!!!

Hakuna mwanamke timamu amewahi zaa na mwanaume kichaa.

Wanaume sasa;
1. Wanabaka vichaa
2. Wanabaka vikongwe
3. Wanabaka watoto
4. Wanabaka walemavu.
 
Dah! Hao ndio wanaotekeleza kauli za viongozi "fyatueni watoto"
Wanaume tumezidi Sasa😅😅
 
Back
Top Bottom