Asiyejulikana amjaza mlemavu mimba 6

Asiyejulikana amjaza mlemavu mimba 6


Kuna wanaume wanaamini kwa dhati kabisa kuwa bucha zote nyama ni ile ile!
 
Vyombo husika vya dola vingechunguza kwa kina hao watoto wa huyo mlemavu wa akili wanafanana na nani hasa hapo mtaani. Wakamate hata washukiwa watatu tu, wakawapime DNA ili atakaye bainika awajibishwe kwa mujibu wa sheria.
Unakuta ni mtu ambaye hana ramani kabisa
 
Wana uhakika ni mwanamme mmoja?
Nalaani ubakaji huo.
Wanaume wengine akili zenu,chafu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo magumu sana haya. Kuna jamaa yangu nilisoma naye chuo alikuwa na dada mwenye hali kama hiyo ya ulemavu wa akili lakini pia ilichanganyika na ulemavu wa viungo, ndiyo alikuwa dada mkubwa kwenye familia yao. Niliambiwa huyo dada aliwahi kupata mimba, wazazi wakamshuku mfanyakazi wao wa shamba kuuwa ndiye mhusika, wakamwitia mgambo wa kijiji wakamkamata na kumpiga sana kabla ya kumpeleka polisi.

Kule mahabusu alikaa wiki moja tu akafariki, lakini alikana tuhuma hiyo hadi dakika ya mwisho. Mwaka mmoja baada ya kujifungua, yule dada alipata mimba nyingine na hakujulikana mhusika. Hata yule mtoto wa kwanza hafanani hata chembe na aliyetuhumiwa kuhusika. Bahati nzuri ile familia ina uwezo na wale vijana wawili sasa hivi ni watu wazima wamekulia kwa babu yao katika hatua zote, lakini bado hawajulikani baba zao/yao.
 
Mambo magumu sana haya. Kuna jamaa yangu nilisoma naye chuo alikuwa na dada mwenye hali kama hiyo ya ulemavu wa akili lakini pia ilichanganyika na ulemavu wa viungo, ndiyo alikuwa dada mkubwa kwenye familia yao. Niliambiwa huyo dada aliwahi kupata mimba, wazazi wakamshuku mfanyakazi wao wa shamba kuuwa ndiye mhusika, wakamwitia mgambo wa kijiji wakamkamata na kumpiga sana kabla ya kumpeleka polisi. Kule mahabusu alikaa wiki moja tu akafariki, lakini alikana tuhuma hiyo hadi dakika ya mwisho. Mwaka mmoja baada ya kujifungua, yule dada alipata mimba nyingine na hakujulikana mhusika. Hata yule mtoto wa kwanza hafanani hata chembe na aliyetuhumiwa kuhusika. Bahati nzuri ile familia ina uwezo na wale vijana wawili sasa hivi ni watu wazima wamekulia kwa babu yao katika hatua zote, lakini bado hawajulikani baba zao/yao.

Sipati picha hao wazazi walijisikiaje kuhusika na mauaji.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu wa dawati la jinsia mkoa wa Mbeya, Jannet Masangano alikiri Ofisi yake kuwa na taarifa za binti huyo na kusisitiza kuwa kinachofanywa kwa vyovyote na mtu anayemzalisha mlemavu huyo ni kitendo cha ubakaji kwakuwa ana imani hakuna makubaliano ya mahusiano ya kimapenzi yanayofanyika kati yao.

HabariLeo

WELEDI wa watumishi wa umma nchini mwetu ni hafifu kupindukia.

Mkurugenzi wa Dawati la Jinsia la Mkoa anatoa wild and wooly guess work!

"Kwa vyovyote vile itakuwa nina imani hakukuwa na makubaliano... huu ni ubakaji"

hahahahaaaa...

Kuna namna ya kutoa statement za vitu ambavyo huna hakika!

1. Hujui kitabibu kama ni kichaa kweli au chizi freshi

2. Hujui kisheria kama kichaa ana utashi wa kuridhia kuzaa

3. Hujui kibaiologia kama ni mimba za mtu mmoja au kumi na tano!

4. Hujui ki haki za binadamu kama kichaa haruhusiwi kuzaa...


You don't know nothing!

Sema TUNAFANYA UCHUNGUZI

PLAIN AND SIMPLE!
 
Kama ni mlemavu anapataje huo ujauzito dawa ni kufungwa kizazi na ndugu wakamatwe na walazimishee kumtunza yeye na watoto.habari ya kuanza kumtafuta aliyempa hizo mimba ni ngumu Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipati picha hao wazazi walijisikiaje kuhusika na mauaji.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Walisononeka sana japo yule baba alisikika mara kwa mara akijitapa kuwa ametoa fundisho baada ya ile mimba ya kwanza. Kilichobaki watoto wale hadi leo wamechukua ubini wa babu yao na wameendelea. Mmoja ana biashara ya hardware ndiye anayemtunza mama yake na bibi yake, babu yao alishafariki.

Yule mwingine alisoma hadi CPA akapata kazi kwenye international organization yuko Mozambique. Mjomba wao mkubwa (classmate wangu) ni mwalimu mkoani Simiyu.

Cha ajabu hakuna mtu mwingine kwenye ile familia aliyepata maendeleo, wajomba wawili (wadogo zake yule classmate wangu) waliokuwa na hao watoto wako hoi tu, mmoja ni utingo wa lori mwingine mpigadebe wa daladala pale stendi, tofauti kabisa na uwezo mkubwa waliokuwa nao wazazi.
 
dmkali,
Labda kama ni kichwa mwenzie. Hivi mtu wa kawaida anaanzaje. Kulala na kichaa ule uchafu, harufu unaanzaje kwa mfano? Ati tamu? Kichaa anaoga? Kweli wanaume hamna kinyaa
 
Bwana @Juma_p_maharage wa kula kimasihara hili jambo lako sijawai sahau story yako
 
Analogia Malenga,

Kumbuka huu ni mwaka wa uchaguzi, usikute ni mbunge kafanya haya. Waliacha kuwaua maalbino baada ya media za dunia kuikashifu Tanzania na sasa wabunge wamehamia kwa vichaa na walemavu.
 
Hapa wa kutafutwa ni Mh. Mwakyembe, Mh. Sugu, Mh. Ackson, Mh. Mwanjelwa na wabunge wengine wa Mbeya. Mwaka wa uchaguzi huu tutasikia matukio mengi sana kama haya. Waliacha maalbino sasa wanakuja kwa vilema na watoto.
 
Back
Top Bottom