Asiyejulikana amjaza mlemavu mimba 6

Una akili timamu kweli?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi wanasema mimba ni ya mwanume mmoja kuna kitu inawezekana kipo/wanamashaka na mtu na mtu huyo inawezekana anauwezo wa kuwajibika, tatizo mambo ya mtaani watu huwa wanaogopa kuwa shahidi zinabaki story za chini kwa chini.
 
Wakimkamata huyo mwanaume waniite nije kumtia mimba ya mapacha watatu aone adha ya kutunza mimba pamoja na malezi yake.
 
Eti mlemavu kumpa ujauzito ni dhawabu!! Imani potofu kabisa hizi.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…