Salaam, Shalom!!
Nachukua wasaa huu kuwaamsha wote waliokata tamaa, wote walioapa hadharani kuwa hawatashiriki kupiga kura wengine wakachoma kadi za kupigia kura, baada ya matumaini Yao ya kumuona ndugu Edward Lowwassa anakuwa Rais wa nchi 2015 kupotea.
Uchaguzi wa 2020 pia ulichagizwa na mwitikio mdogo wa wapiga kura, wakiamini Bado wizi upo na ungeendelea,
Huu ni mwaka 2024, panapo majaaliwa, ikiwa uchaguzi wa Serikali za mitaa utafanyika, tujitokeze Kwa wingi kumsikiza sera za wagombea,kupiga kura na kuzilinda. Vile vile mwaka kesho 2025 WIMBI liwe kubwa zaidi.
ANGALIZO: Kura za wizi Huwa zipo kuongezea zilizopo, sasa tukijitokeza Kwa wingi kupiga kura na kuzilinda,haitowezekana kuiba kura.
Mungu Mbariki Nabii Mwabukusi,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni🙏