Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Hiyo retardation ya 1.1% haikufanyi uchekelee,haswa ukitilia maanani hiyo ni first quaterTanzanian growth slowed to 5.7 percent in the first quarter of this year, hurt by slower-than-expected performance of construction, transport, agriculture and the financial services sectors, the statistics office said on Thursday.
Growth in the same period of 2016 was 6.8 percent.
Acha upuuzi. Tulikuwa 7.1 last Q. Sasa tumeshuka mpaka 5.1. Retardation ni 2%. Usituzuge ase.Hiyo retardation ya 1.1% haikufanyi uchekelee,haswa ukitilia maanani hiyo ni first quater
English ni tatizo kwako... hiyo 7.1 ni average ya mwaka,ila kwenye robo ya kwanza mwaka jana tulikua 6.8 wakati sasa tuna 5.7 kwa hiyo 5.7-6.8=-1.1Acha upuuzi. Tulikuwa 7.1 last Q. Sasa tumeshuka mpaka 5.1. Retardation ni 2%. Usituzuge ase.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaalamu wa uchumi kageuzwa kuwa mtaalamu wa fitina!Wenye utaalam wa uchumi tusaidieni, ni nini maana ya uchumi kukua kwa asilimi 1, na nini maana ya uchumi kupungua kwa asilimia 1, je impact yake ni ipi?. Naomba elimu tafadhali
Kwani mtoa mada alikuwekea hiyo Q ya kwanza ya mwaka jana? Au una derive ma data yako bila kuzingatia details?English ni tatizo kwako... hiyo 7.1 ni average ya mwaka,ila kwenye robo ya kwanza mwaka jana tulikua 6.8 wakati sasa tuna 5.7 kwa hiyo 5.7-6.8=-1.1
Unapaswa uwe na ufahamu mzuri wa lugha pia walau elimu ya msingi ya uchumi au uhasibu ili uweze kubishana kwenye mambo haya
Kweli tulikimbia hesabu twambie sasa twaelekea Zimbabwe au nchi ya ahadi[emoji1] [emoji1] [emoji1]Bavicha tatizo huko kwenu mlikimbia hesabu...hahahaba
Ku kuwa kwa uchumi,kuko kwa aina mbiliJamani uchumi wetu unakua acheni ubishi! na mafisadi au wasiofanya kazi lazima pesa mifukoni mwao zipotee... na bado
Na habari kama hizi hutazisikia kwenye vyombo vya habar vya tz.Sitoshangaa kesho Rais akisimama na kusema uchumi unakua kwa 7% kwasababu wamezoea kutudanganya.