Asiyetakiwa ni Waziri Mkuu Majaliwa, kila kitu kimepangwa, ajiandae kuachia ngazi

Asiyetakiwa ni Waziri Mkuu Majaliwa, kila kitu kimepangwa, ajiandae kuachia ngazi

Yeye ndiye muhusika, halafu atowe taarifa wapi tena?

Watoa taarifa wapo chadomo, ACT na kina hashim. Wanatosha kutowa taarifam yeye anatakiwa awe na votendo zaidi.

Mpaka sasa anachezewa na watoto wadogo akina makonda na biyeko, ina maana kashindwa kabisa, awachie ngai tu.

Niliwahi kuandika hivi:

Maja is there to stay. Ungeniambia tuiondoe Serikali yote madarakani ningekuelewa.
 
Msimamo wa uchaguzi 2025 kukiwa na Tume huru ya uchaguzi ndio kutamfanya Samia ajue Rungu ni nani na alipatwa na nini kwenye uchaguzi Zambia.
Atakutana na ubao ukisema;
*Mgombea ACT Wazalendo: 4.8%
*mgombea NCCR 2.08%
*Mgombea CCM 39.8%
*Mgombea Chadema 52.01%
*Wengineo wote 2.2%.
Jiheshimu,

Under Tume huru ya Uchaguzi, hiyo 39.8% CCCM aitoe wapi!!
 
Teuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.

Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Kwanini usiseme ccm
 
Ningekua rais ningefuta vyeo vingine vyote sijui waziri mkuu,makamu wa raisi,dc,das,Ras vyote futilia mbali, mawaziri wangekua 20 tu na hao hao wangekua wabunge,,, hizo hela zingeenda kufanya maendeleo mingine sio kujaza watu hata wanavyofanya havionekani,,
Sio takwa la Rais ,nikatiba ndio inayotambua hivyo vyeo,
 
Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Duh...!
P
 
Back
Top Bottom