Achana bar mpuuzi Tu huyoMi hata sikuelewi,
Ungeweka reference au hata link kwanza ya Yericko Nyerere alisema nini hapo awali ili ukianza kumkosoa tujue unamkosoa kwa kitu gani.
Yaani hapa sielewi kua kuna Kitabu Yericko Nyerere amekitunga maalum kwa ajili ya Mapinduzi ndio unachokikosoa au amezungumzia Mapinduzi kwenye kilekitabu chake maarufu cha UJASUSI WA DOLA NA WA KIUCHUMI?? Jaribu kwanza kufafanua hili ndo tutaelewa uaandika nini.
Unatumia simu ya kichina nini? Nimekupa link wewe unafungua vitu gani?Hii link ina mushkeli. Waweza iweka vema ili tukapata kilichokusudiwa. Yawezekana umekosea kiduchu katika kuinukuu
Your search - Library of Congress Online Catalog - No Connections Available ... - did not match any documents.
Yericko,Mohamed Said unajua wewe ni mtu mzima acha utoto wa kijinga,
Mimi nakupa link ya Library of Congress iliyo na kitabu changu wewe unafanya ujinga kwakuleta link yako isiyofunguka?
Wanajamvi nadhani mnaona huyu mzee alivyo mzandiki wa kiwango cha lami....
Link niliyompa hii hapa..... https://catalog.loc.gov/vwebv/searc...Code=GKEY^*&searchType=0&recCount=25&sk=en_US
Ama kweli kiburi si maungwana, nimekuuliza kiungwana ili nipate hakikisho la hiyo link uloiweka, matokeo yake wanijibu kifedhuli. Asante, "nimekuelewa na kukupata uzuri"Unatumia simu ya kichina nini? Nimekupa link wewe unafungua vitu gani?
Hakika, mimi ni msomaji wa vitabu na kitabu chake nakisoma na nilijua uwepo wa link aloiweka ingalisaidia kukikweza kitabu naye angekuwa rahimu kwa kutusaidia wateja wake pindi inapotokea tumepata mushkeli au kwazikoKwezisho,
Tusameheane taratibu atabadilika na atakuwa mwema kwako na rafikiyo.
Jambo lolote ukilitia upole linapendeza.
Nini tatizo kwenye link hiyo? Nini hujakielewa ndugu?Yericko,
Ghadhabu huondoa umakini.
Jitulize.
Rejea kusoma hiyo post link hiyo sijaileta mimi.
Mwalimu wangu aliyenifunza ilm ya mnakasha yaani majadiliano Sheikh Haruna, Allah amrehemu alikuwa akisema elimu yoyote ina adabu zake.
Alikuwa akitufunza kuwa mpe heshima unayejadiliananae na kiweke kichwa chako wazi kupokea kwani katika kupokea fikra za wengine ndipo ilipojificha ilm.
Maalim Haruna akisema kuwa heshima hukimbiza kibri na ghadhabu.
Nilipata kumuuliza kwa nini katumia neno "adabu," badala ya sheria.
Sheikh Haruna akasema katumia neno "adabu," ili wanafunzi wake tuone umuhimu wa kuwa na adabu.
Link hiyo una uhakika haifunguki?Hakika, mimi ni msomaji wa vitabu na kitabu chake nakisoma na nilijua uwepo wa link aloiweka ingalisaidia kukikweza kitabu naye angekuwa rahimu kwa kutusaidia wateja wake pindi inapotokea tumepata mushkeli au kwaziko
Tatizo wewe ukibanwa huwa unajificha kwenye kichaka chakuheshimiwa japo wewe huna heshima...Kwezisho,
Tusameheane taratibu atabadilika na atakuwa mwema kwako na rafikiyo.
Jambo lolote ukilitia upole linapendeza.
Tatizo la bwana mdogo yericko nyerere huwa hapendi kukosolewa yeye anajua kila jambo...Yericko,
Mie nina subira ndiyo maana situkani.
Kitabu chako vipi nitakisoma ilhali nafahamu uwezo wako wa kuandika?
Huyo ndio jembe wa ufipa bana..yeye huwa anajiona anajuaga kila kitu na kuona wenzie majuha.Pana tatizo hapa kdgo.Ama kweli kiburi si maungwana, nimekuuliza kiungwana ili nipate hakikisho la hiyo link uloiweka, matokeo yake wanijibu kifedhuli. Asante, "nimekuelewa na kukupata uzuri"
Nini unachokosoa au anachokosoa ambacho nawe una muunga?Tatizo la bwana mdogo yericko nyerere huwa hapendi kukosolewa yeye anajua kila jambo...
Ufipa kuna uhusiano gani na mada iliyopo ndugu?Huyo ndio jembe wa ufipa bana..yeye huwa anajiona anajuaga kila kitu na kuona wenzie majuha.Pana tatizo hapa kdgo.
Mohamed Said: TAAZIA: AMAN THANI FAIROOZ 24 NOVEMBA 1929 - 21 FEBRUARI 2016WanaMajlis,
Hapo chini ndiko tulikotoka:
Kwa uzoefu wangu katika vitabu nilieleza mengi kipi kifanyike ili mambo
yakae sawa.
Nilishauri kitabu kipewe ISBN na atafutwe publisher.
Ikiwa haya yamefanyika na kitabu kimekaa sawa kipo Library of Congress
hili ni jambo jema sana.
JF tupafanye mahali pa kuelimishana aliye na elimu ya kitu asiwe na choyo
awafahamishe nduguze ili tija ipatikane.
Hapana haja ya kutukanana.
Mzee wangu inamana kijana kajifungia ndani na printer yake kutoka kaja na kitabu tayari?Yericko,
Katika hayo yote uliyosema lililo la kweli moja tu kuwa mimi naipenda dini yangu Uislam kiasi nilipoona historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika imeandikwa lakini mchango wa wazalendo Waislam hawamo, nilinyanyua kalamu na kuandika kitabu kizima.
Hili kuwa wewe unanimudu mimi hapa unajitutumua hilo hawajaliweza wenye elimu kupita wewe utaliweza wewe?
Huwezi kupambana na mimi kwa kuandika "kitabu" kimoja ulichochapa mwenyewe bila "publisher."