Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Waoane STD 7?waache waoane
unajua ana umri ganiwaoane STD 7?
Hako kanafunzi kalikuwa na smartphone,kwa hiyo kalikuwa kakubwa.
... no matter how old she might be, hakuna sheria inayohalalisha kuoa mwanafunzi sio tu STD 7 hata FVI hairuhusiwi! Wewe unakimbilia umri.unajua ana umri gani
kAMA alipanua miguu-anafaa kuozwa, hii ya ubakaji ni mbwembwe tuwaoane STD 7?
... hiyo ni tafsiri yako Chief; watoto na wanafunzi (up to FVI) ni makundi maalumu yanayolindwa na sheria. Ukijichanganya ni 30yrs (wanafunzi) or for life sentence (watoto) no matter alipanua mwenyewe au ulimpanua kwa nguvu.kAMA alipanua miguu-anafaa kuozwa, hii ya ubakaji ni mbwembwe tu
Hii ni changamoto; wapo wengi ninaowaona hapa karibu yangu waliolewa mapemaaaaaaaaaa. Hizi sheria ni bora zingekuwa na exceptions maana hazifikii malengo... hiyo ni tafsiri yako Chief; watoto na wanafunzi (up to FVI) ni makundi maalumu yanayolindwa na sheria. Ukijichanganya ni 30yrs (wanafunzi) or for life sentence (watoto) no matter alipanua mwenyewe au ulimpanua kwa nguvu.
... hadi kufikia hatua ya kutungwa kwa sheria hizo jamii itakuwa ilikumbana na mengi; sidhani kama zilitungwa ili kumkomoa mtu au kundi fulani la watu bali kujenga heshima na kutunza maadili ya jamii. Kwa kuwa wanaozikubali ni wengi kuliko wanaoziona mbovu au hazifai, zitakuwa zimekidhi lengo la kuwepo kwake.Hii ni changamoto; wapo wengi ninaowaona hapa karibu yangu waliolewa mapemaaaaaaaaaa. Hizi sheria ni bora zingekuwa na exceptions maana hazifikii malengo