Askari aliyembaka mtoto wa askari mwenzake afukuzwa kazi

Askari aliyembaka mtoto wa askari mwenzake afukuzwa kazi

... hadi kufikia hatua ya kutungwa kwa sheria hizo jamii itakuwa ilikumbana na mengi; sidhani kama zilitungwa ili kumkomoa mtu au kundi fulani la watu bali kujenga heshima na kutunza maadili ya jamii. Kwa kuwa wanaozikubali ni wengi kuliko wanaoziona mbovu au hazifai, zitakuwa zimekidhi lengo la kuwepo kwake.
Kwa Tz wanaoona haziwafai ni wengi sana, pita kitaa uone watoto walivyobeba watoto. Utafikiri ni yaya katumwa kumbe ni mama na mwana
 
Kwa Tz wanaoona haziwafai ni wengi sana, pita kitaa uone watoto walivyobeba watoto. Utafikiri ni yaya katumwa kumbe ni mama na mwana
... sawa wanaoona hazifai ni "wengi sana" kama unavyodai lakini wakiwekwa kwenye mizania na wanaozikubali wengi wapi? Tatizo la sheria ni kwamba haiwezi kuji-trigger yenyewe automatically pasi na mlalamikaji.
 
Back
Top Bottom