Askari aliyembaka mtoto wa askari mwenzake afukuzwa kazi

Kwa Tz wanaoona haziwafai ni wengi sana, pita kitaa uone watoto walivyobeba watoto. Utafikiri ni yaya katumwa kumbe ni mama na mwana
 
Kwa Tz wanaoona haziwafai ni wengi sana, pita kitaa uone watoto walivyobeba watoto. Utafikiri ni yaya katumwa kumbe ni mama na mwana
... sawa wanaoona hazifai ni "wengi sana" kama unavyodai lakini wakiwekwa kwenye mizania na wanaozikubali wengi wapi? Tatizo la sheria ni kwamba haiwezi kuji-trigger yenyewe automatically pasi na mlalamikaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…