Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mwaka juzi kuliwahi kuibuka "upuuzi" wa Askari kukamata Watu/Watuhumiwa na kuwavalisha mabango yenye "tuhuma" Kisha kuwapiga picha na kusambaza mtandaoni.
Leo hii Binti mdogo aliyejirekodi mambo yasiyo ya staha, amekamatwa na kupelekwa kituoni, akiwa kituoni Tena ofisini kabisa, anapigwa picha na zinasambazwa!
Hii Sio haki na Sio sahihi kabisa... naweka picha yenyewe kama ushahidi