Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Huyu ndo wachupa au?Mwaka juzi kuliwahi kuibuka "upuuzi" wa Askari kukamata Watu/Watuhumiwa na kuwavalisha mabango yenye "tuhuma" Kisha kuwapiga picha na kusambaza mtandaoni.
Leo hii Binti mdogo aliyejirekodi mambo yasiyo ya staha, amekamatwa na kupelekwa kituoni, akiwa kituoni Tena ofisini kabisa, anapigwa picha na zinasambazwa!
Hii Sio haki na Sio sahihi kabisa... naweka picha yenyewe kama ushahidi
View attachment 2062361
MtuhumiwaHuyu ndo wachupa au?
Nalazimika kuamini. Ndio maana Mimi nilikataliwaSifa kubwa ya kupata ajira kwa askari wetu ni lazima uwe kilaza.
Kwani huyu mdada ndiye wa chupa au kuna kingine juu yake?Sasa unamziba uso wakati maada Kama yako ishaanzishwa na watu tumeona picha live..itafute hio maada kaanzisha Beatrice muhaya.... inawezekana ikawa NI kosa Ila nyie Kama wanasheria wasomi malizaneni naye huko sisi huku tunashangalia video na picha zake hatuwezi kumuonea huruma atajua mwenyewe.
Sasa unamziba uso wakati maada Kama yako ishaanzishwa na watu tumeona picha live..itafute hio maada kaanzisha Beatrice muhaya.... inawezekana ikawa NI kosa Ila nyie Kama wanasheria wasomi malizaneni naye huko sisi huku tunashangalia video na picha zake hatuwezi kumuonea huruma atajua mwenyewe.
Nalazimika kuamini. Ndio maana Mimi nilikaSifa kubwa ya kupata ajira kwa askari wetu ni lazima uwe kilaza.