Askari anayedaiwa kutembea na kete za bangi kubambikia watu

Askari anayedaiwa kutembea na kete za bangi kubambikia watu

Kunaa askari wanaotoka kituo cha mwijuma pale mwananyamala , huwa wanakuaga na vijana wanaitwa mapacha,hawa ni wezi ktk mgongo wa jeshi la polisi
 
Sijawahi pata shida na polisi ila matukio hayo yapo sana tu. Ukiwa muoga na wakagundua wanakubambika kosa chap chap. Ndio maana huwezi kuta askari ana good life na wake zao hulia njaa kama maskini vile
 
Namwomba sana Mungu tena hadi nimeandika wosia ili kama nitakufa mapema katika watoto asije tokea hata mmoja kuwa Askari wa Jeshi la polisi hapa Tz.

Najua wapo Askari waadilifu Ila hapana aisee, polisi hata nimkute amekatwa mguu anahitaji wa kumsogexa nitakimbia mno.

Acha niishie hapa
 
Aisee... Kuna police wazuri na police wabaya kama ilivyo kwa raia,kuna raia mwema na raia wa ovyo..hakikisha haki yako unapata mkuu.huyu police atundike jezi.cuba...
 
Back
Top Bottom