Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Na kibaya zaidi yeye atakuwa anafurahia kuwa mboga..!!! Dah...!!Wenzie wataenda mdaka juu juu atakua mboga yao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kibaya zaidi yeye atakuwa anafurahia kuwa mboga..!!! Dah...!!Wenzie wataenda mdaka juu juu atakua mboga yao!
Sanaaa..!! Sasa uikute ile natural ambayo haijaungwa..!! Uweeeeeeeeeeee..!!Kumbe huwa ni tamu eeh 😋
Inasikitisha sana! kwaile video Keshakuwa addicted yule !!Na kibaya zaidi yeye atakuwa anafurahia kuwa mboga..!!! Dah...!!
Na anavyoihudumia dushe, yaani anawazidi wanawake wengi sana..!! INASIKITISHA SANAInasikitisha sana! kwaile video Keshakuwa addicted yule !!
Yanii ..afu inaonekana wakiwa wanamuingizia kazoea kujirekodi yulee kamanda hovyo sana yule!Na anavyoihudumia dushe, yaani anawazidi wanawake wengi sana..!! INASIKITISHA SANA
MABASHA WENGINE ATAWAKUTA GEREZANI HUKO..!!Safi kabisa na basha wake wangemkamata pia
Ni zaidi ya hovyo wallah..!!Yanii ..afu inaonekana wakiwa wanamuingizia kazoea kujirekodi yulee kamanda hovyo sana yule!
kumbe huwa inaungwa?? inaungwaje sasa?Sanaaa..!! Sasa uikute ile natural ambayo haijaungwa..!! Uweeeeeeeeeeee..!!
😂 😂 Wengine si wanaweka vipipi, na wapo wanaoweka hadi viungo vya pilaukumbe huwa inaungwa?? inaungwaje sasa?
Ahsante kwa kuunga mkono matumizi ya mlango wa uaniDah aibu na hatari juu
Hivi yeye haifurahii K jaman hadi na yeye atumie mlango wa nyuma?
Apate stahili yake kama yule wa mtwara
ALIYEKUWA Askari Polisi FFU, Ramadhani Hassan Ali maarufu Afande Rama, amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Vuga, kujibu mashtaka mawili yanayomkabili.
Mbele ya Hakimu Khamis Ali Simai, Mwendesha Mashtaka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar, Muhammed Saleh, alidai mahakamani kuwa mshtakiwa anakabiliwa na mashtaka mawili ambayo ni kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na kufanya maudhi makubwa ya kingono.
Alidai kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo mapema Machi mwaka huu, kitendo ambacho ni kosa kwa mujibu wa Sheria za Zanzibar.
Mshtakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza akitokea mahabusu ya polisi bila ya wakili wa kumsimamia.
Shtaka hilo limeahirishwa hadi Aprili 4, mwaka huu na mshtakiwa amepelekwa mahabusu huku upande wa mashtaka ukidai unaendelea na upelelezi.
Ilidaiwa kuwa askari huyo alijihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile huku video fupi inayoonesha tukio hilo ikisambaa mtandaoni.
Hivi karibuni, Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamad Khamis Hamad, alisema askari huyo alishapandishwa kwenye mahakama ya kijeshi kutokana na tuhuma hizo ambazo ni kinyume na mwongozo na kanuni za kiutendaji wa jeshi hilo (PGO).
NIPASHE
Mkoa wa Mbeya una kesi nyingi sana mpaka inashangaza..ulawiti na kubaka..Polisi wamefanya haraka kumkamata huyo! Huenda wangetulia wangekamata wengi! Hata hivyo kwa Zanzibar hiyo kesi ni geresha tu! Zanzibar ni Sodoma na Gomorrah ya Tanzania kwa sasa!
Nadhani lipo! Hawawezi kukufungulia charge bila kuchungulia penal code! The same yule askari wa jwtz aliyekuwa na Nissan na kumsukuma nayo yule traffic,kwa kukataa kusimama,walichungulia penal code,wakamfungulia mjeda charge ya kukataa amri halali,kosa ambalo anaweza kufungwa miaka miwili jela, simply kibarua kinaweza kuota nyasi kwake kwa kutokutumia akili na uaskari wa kizamaniKosa la maudhi makubwa ya ngono lipo kwenye penal code?