Askari anayetuhumiwa kuingiliwa asomewa mashtaka, akana sio yeye kwenye video

Askari anayetuhumiwa kuingiliwa asomewa mashtaka, akana sio yeye kwenye video

Swala sio sheria swala kuliaibisha jeshi la polisi sweetheart. Ngoja tusubiri wote tupo hapa.
Tupoooo, mtadanganywa kapigwa mvua, baadae anatolewa, wanafanya vile kuepusha taharuki.

Wangekua serious wangemtafuta yule mlaji. Ili case iendeshwe kwa usawa. Mnapigwa changa LA macho tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wamuachie tu..labda kazi ndio iwe basi. Maana hayo ni mambo ya consciousness yake. Hata akifungwa, kama ameamua kuwa mchicha, lazima ataendelea kupikwa na kulika tu
 
Wamuachie tu..labda kazi ndio iwe basi. Maana hayo ni mambo ya consciousness yake. Hata akifungwa, kama ameamua kuwa mchicha, lazima ataendelea kupikwa na kulika tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa.
 
Wafungwa wanamsubiria huko gerezani... naamini ataenda kuishi vzuri bila bugdha yoyote huko gerezan
Gerezani hivyo vitendo ni nadra sana kutokea, kesi ya kukutwa mnafanyana gerezani ni kubwa Bora hata uue mfungwa mwenzako, stori za mtaani ndo zinapotosha watu
 
Inawezekana sio yeye mbona gwajima alikana sio yeye mkaamini?😅😅
 
Kwa hiyo aliyemuingilia afande yeye anadunda mtaani kama kawaida
 
Back
Top Bottom