Askari anayetuhumiwa kuingiliwa asomewa mashtaka, akana sio yeye kwenye video

Yule wa mtwara alikosa wakili pia hakujua kujitetea.
Case ya ushoga ikikutana na mtuhumiwa mwenye akili na anayejua sheria hafungwiiii kamweee.

Wawaokote hawa hawa wasio jitambuaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbna mabasha hawakamatwi? Sasa case itaendeshwa vipi hapo? Lol
Hapo kuna mliwa na mlaji. Wote wawepo au kula ni halali ila kuliwa ni haramu?
 
ALIYEKUWA Askari Polisi FFU, Ramadhani Hassan Ali maarufu Afande Rama, amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Vuga, kujibu mashtaka mawili yanayomkabili.

Mbele ya Hakimu Khamis Ali Simai, Mwendesha Mashtaka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar, Muhammed Saleh, alidai mahakamani kuwa mshtakiwa anakabiliwa na mashtaka mawili ambayo ni kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na kufanya maudhi makubwa ya kingono.

Alidai kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo mapema Machi mwaka huu, kitendo ambacho ni kosa kwa mujibu wa Sheria za Zanzibar.

Mshtakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza akitokea mahabusu ya polisi bila ya wakili wa kumsimamia.

Shtaka hilo limeahirishwa hadi Aprili 4, mwaka huu na mshtakiwa amepelekwa mahabusu huku upande wa mashtaka ukidai unaendelea na upelelezi.

Ilidaiwa kuwa askari huyo alijihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile huku video fupi inayoonesha tukio hilo ikisambaa mtandaoni.

Hivi karibuni, Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamad Khamis Hamad, alisema askari huyo alishapandishwa kwenye mahakama ya kijeshi kutokana na tuhuma hizo ambazo ni kinyume na mwongozo na kanuni za kiutendaji wa jeshi hilo (PGO).

NIPASHE
Na aliyemuingilia Huwa hashitakiwi? Mm ktk kitu ninachoshangaa, ivi kwa nn mabasha Huwa hawasakamwi kama mashoga???
 
Huyo keshatemeshwa mwenge na jera anaenda. Pole kwa familia yake na mtoto wake, uzuri wa kule mwanamke anaweza akadai talaka na kuolewa na mtu mwingine.
 
Mabasha na wenyewe ni mashoga kwa tafsiri ya neno SHOGA, so nao wanastahili kushtakiwa period.
 
sasa umezijuaje? ukute hyo unayodhan haijaungwa ndo imeungwa ohhhoo
KUna watia viungo wanasimulia banaa..!!! Sema kama kuna mwanamke anaiunga na kiungo chenye harufu kama mbususu, hapo kutofautisha ni ngumu
 
Hapo kuna mliwa na mlaji. Wote wawepo au kula ni halali ila kuliwa ni haramu?
Ndo hapo ushangae sasa, kwan hata kule mtwaraa atatolewa soon, wananchi wamedanganywa ili wasi hamaki.

Wakishapoa jamaa anatolewa uraiani.
 
Huyo keshatemeshwa mwenge na jera anaenda. Pole kwa familia yake na mtoto wake, uzuri wa kule mwanamke anaweza akadai talaka na kuolewa na mtu mwingine.
Jera haendi kamwee, useme kazi ndo ataachishwaaa.
 
Eti sio yeye?mbona simple,waliinamishe waangalie marinda yapo?maana kwa jinsi alivyokua kaukalia nina imani ana tundu kubwa ukitupia sarafu ya sh.200 inapita bila tatizo.
 
Polisi wamefanya haraka kumkamata huyo! Huenda wangetulia wangekamata wengi! Hata hivyo kwa Zanzibar hiyo kesi ni geresha tu! Zanzibar ni Sodoma na Gomorrah ya Tanzania kwa sasa!

Dar es Salaam says Hi!
 
Yule wa mtwara alikosa wakili pia hakujua kujitetea.
Case ya ushoga ikikutana na mtuhumiwa mwenye akili na anayejua sheria hafungwiiii kamweee.

Wawaokote hawa hawa wasio jitambuaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbna mabasha hawakamatwi? Sasa case itaendeshwa vipi hapo? Lol

Zanzibar hakuna wakili atayejitokeza labda fatuma karume tu
 
Back
Top Bottom