green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Atafungwa jela ya wanawakeWafungwa wanamsubiria huko gerezani... naamini ataenda kuishi vzuri bila bugdha yoyote huko gerezan
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atafungwa jela ya wanawakeWafungwa wanamsubiria huko gerezani... naamini ataenda kuishi vzuri bila bugdha yoyote huko gerezan
Kaona wanawake wanafaidi sana kaamua kuachia bawasiriDah aibu na hatari juu
Hivi yeye haifurahii K jaman hadi na yeye atumie mlango wa nyuma?
Apate stahili yake kama yule wa mtwara
🙆♂️🙆♂️Kaona wanawake wanafaidi sana kaamua kuachia bawasiri
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapo kuna mliwa na mlaji. Wote wawepo au kula ni halali ila kuliwa ni haramu?Yule wa mtwara alikosa wakili pia hakujua kujitetea.
Case ya ushoga ikikutana na mtuhumiwa mwenye akili na anayejua sheria hafungwiiii kamweee.
Wawaokote hawa hawa wasio jitambuaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna mabasha hawakamatwi? Sasa case itaendeshwa vipi hapo? Lol
Na aliyemuingilia Huwa hashitakiwi? Mm ktk kitu ninachoshangaa, ivi kwa nn mabasha Huwa hawasakamwi kama mashoga???ALIYEKUWA Askari Polisi FFU, Ramadhani Hassan Ali maarufu Afande Rama, amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Vuga, kujibu mashtaka mawili yanayomkabili.
Mbele ya Hakimu Khamis Ali Simai, Mwendesha Mashtaka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar, Muhammed Saleh, alidai mahakamani kuwa mshtakiwa anakabiliwa na mashtaka mawili ambayo ni kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na kufanya maudhi makubwa ya kingono.
Alidai kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo mapema Machi mwaka huu, kitendo ambacho ni kosa kwa mujibu wa Sheria za Zanzibar.
Mshtakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza akitokea mahabusu ya polisi bila ya wakili wa kumsimamia.
Shtaka hilo limeahirishwa hadi Aprili 4, mwaka huu na mshtakiwa amepelekwa mahabusu huku upande wa mashtaka ukidai unaendelea na upelelezi.
Ilidaiwa kuwa askari huyo alijihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile huku video fupi inayoonesha tukio hilo ikisambaa mtandaoni.
Hivi karibuni, Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamad Khamis Hamad, alisema askari huyo alishapandishwa kwenye mahakama ya kijeshi kutokana na tuhuma hizo ambazo ni kinyume na mwongozo na kanuni za kiutendaji wa jeshi hilo (PGO).
NIPASHE
Papaya huyoAfande mchele
Huyo keshatemeshwa mwenge na jera anaenda. Pole kwa familia yake na mtoto wake, uzuri wa kule mwanamke anaweza akadai talaka na kuolewa na mtu mwingine.ALIYEKUWA Askari Polisi FFU, Ramadhani Hassan Ali maarufu Afande Rama, amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Vuga, kujibu mashtaka mawili yanayomkabili.
Mbele ya Hakimu Khamis Ali Simai, Mwendesha Mashtaka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar, Muhammed Saleh, alidai mahakamani kuwa mshtakiwa anakabiliwa na mashtaka mawili ambayo ni kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na kufanya maudhi makubwa ya kingono.
Alidai kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo mapema Machi mwaka huu, kitendo ambacho ni kosa kwa mujibu wa Sheria za Zanzibar.
Mshtakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza akitokea mahabusu ya polisi bila ya wakili wa kumsimamia.
Shtaka hilo limeahirishwa hadi Aprili 4, mwaka huu na mshtakiwa amepelekwa mahabusu huku upande wa mashtaka ukidai unaendelea na upelelezi.
Ilidaiwa kuwa askari huyo alijihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile huku video fupi inayoonesha tukio hilo ikisambaa mtandaoni.
Hivi karibuni, Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamad Khamis Hamad, alisema askari huyo alishapandishwa kwenye mahakama ya kijeshi kutokana na tuhuma hizo ambazo ni kinyume na mwongozo na kanuni za kiutendaji wa jeshi hilo (PGO).
NIPASHE
Mabasha na wenyewe ni mashoga kwa tafsiri ya neno SHOGA, so nao wanastahili kushtakiwa period.Na aliyemuingilia Huwa hashitakiwi? Mm ktk kitu ninachoshangaa, ivi kwa nn mabasha Huwa hawasakamwi kama mashoga???
KUna watia viungo wanasimulia banaa..!!! Sema kama kuna mwanamke anaiunga na kiungo chenye harufu kama mbususu, hapo kutofautisha ni ngumusasa umezijuaje? ukute hyo unayodhan haijaungwa ndo imeungwa ohhhoo
😂😂😂🙆♂️🙆♂️ na ww mpana sanaKUna watia viungo wanasimulia banaa..!!! Sema kama kuna mwanamke anaiunga na kiungo chenye harufu kama mbususu, hapo kutofautisha ni ngumu
Ndo hapo ushangae sasa, kwan hata kule mtwaraa atatolewa soon, wananchi wamedanganywa ili wasi hamaki.Hapo kuna mliwa na mlaji. Wote wawepo au kula ni halali ila kuliwa ni haramu?
Jera haendi kamwee, useme kazi ndo ataachishwaaa.Huyo keshatemeshwa mwenge na jera anaenda. Pole kwa familia yake na mtoto wake, uzuri wa kule mwanamke anaweza akadai talaka na kuolewa na mtu mwingine.
Ningekaa Kyela mwaka lazima ningepiga zaidi ya Yutong 2Kyela inashangaza wanawake wao hawakatai ni mwiko ila kubaka kupo juu mno..
Polisi wamefanya haraka kumkamata huyo! Huenda wangetulia wangekamata wengi! Hata hivyo kwa Zanzibar hiyo kesi ni geresha tu! Zanzibar ni Sodoma na Gomorrah ya Tanzania kwa sasa!
Yule wa mtwara alikosa wakili pia hakujua kujitetea.
Case ya ushoga ikikutana na mtuhumiwa mwenye akili na anayejua sheria hafungwiiii kamweee.
Wawaokote hawa hawa wasio jitambuaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna mabasha hawakamatwi? Sasa case itaendeshwa vipi hapo? Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas huyo shangazi ajitokezee.Zanzibar hakuna wakili atayejitokeza labda fatuma karume tu
Shangaa hapo sasa naweee. LolNa aliyekuwa anampiga miti hajashitakiwa?