mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,855
unaandika ukiwa mahabusu?
I Hope nameless girlfriend hujasoma btn the line,soma uelewe ombi la mwandshi then njoo na ushauri wa kisheria
Sio hajasoma between the lines...hajasoma kabisa
Huwezi kufungua kesi kwa kipindi kesi yako ikiwa inaendelea mpaka hukumu itoke.
Ukikutwa huna hatia pia waweza mshitaki yule aliyekushtaki mwanzo na haitakua jinai.
Wakuu naombeni msaada wa kisheria,mwezi wa 8 nilikamatwa na police na hatmae ndg zangu kunitoa kw dhamana.hata hvo walniambia lazma niwe na riport central police kila baada ya wik ,na toka mwzhuo nmekua narpot. Kwa kua nakaa kigoma na ndko nafanyia biznes zangu nimeona nwaombe niwe narpot kulekule hata hvo police wamekataa.mazingira ya kesi yangu ni ya kubambikiziwa .je sheria inaruhusu kufungua shaur mahakamani dhidi ya police kwa ucheleweshaji wa kunipeleka mahakamani,?je kwa kua mlalamikaji hawaniambii. je kama ntaonekana sna hatia police naweza wafungulia kesi ya madai mana naingia hasara nyngi na swala hili? Naombeni ushauri wakuu?
Aisee,wewe ukiwa hakimu utakuwa mtu hatari sanaHuwezi kufungua kesi kwa kipindi kesi yako ikiwa inaendelea mpaka hukumu itoke.
Ukikutwa huna hatia pia waweza mshitaki yule aliyekushtaki mwanzo na haitakua jinai.
Eeh. Una papara leo? Hebu karudie tena kusoma. Hana kesi maana hajafunguliwa mashtaka
nisaidie kufafanua izo facts mana nikianza kusoma ya mtoa mada najikuta najump lines automatically.
nisaidie kufafanua izo facts mana nikianza kusoma ya mtoa mada najikuta najump lines automatically.
kama unajua unajump lines kwanini unachangia kitu ambacho hauja kisoma vizuri...sasa hapo utakuwa unashauri nini?