Askari hawataki kunipeleka mahakamani, nifanyeje?

mkulima gwakikolo

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
1,767
Reaction score
2,855
Wakuu naombeni msaada wa kisheria,mwezi wa 8 nilikamatwa na police na hatmae ndg zangu kunitoa kw dhamana.hata hvo walniambia lazma niwe na riport central police kila baada ya wik ,na toka mwzhuo nmekua narpot. Kwa kua nakaa kigoma na ndko nafanyia biznes zangu nimeona nwaombe niwe narpot kulekule hata hvo police wamekataa.mazingira ya kesi yangu ni ya kubambikiziwa .je sheria inaruhusu kufungua shaur mahakamani dhidi ya police kwa ucheleweshaji wa kunipeleka mahakamani,?je kwa kua mlalamikaji hawaniambii. je kama ntaonekana sna hatia police naweza wafungulia kesi ya madai mana naingia hasara nyngi na swala hili? Naombeni ushauri wakuu?
 
Wanataka umalizane nao kikubwa,fanya hivyo vinginevyo shughuli zako Kigoma zitakwama
 
I Hope nameless girlfriend hujasoma btn the line,soma uelewe ombi la mwandshi then njoo na ushauri wa kisheria
 
Huwezi kufungua kesi kwa kipindi kesi yako ikiwa inaendelea mpaka hukumu itoke.
Ukikutwa huna hatia pia waweza mshitaki yule aliyekushtaki mwanzo na haitakua jinai.
 
Eeh. Una papara leo? Hebu karudie tena kusoma. Hana kesi maana hajafunguliwa mashtaka
Huwezi kufungua kesi kwa kipindi kesi yako ikiwa inaendelea mpaka hukumu itoke.
Ukikutwa huna hatia pia waweza mshitaki yule aliyekushtaki mwanzo na haitakua jinai.
 
Wakuu naombeni msaada wa kisheria,mwezi wa 8 nilikamatwa na police na hatmae ndg zangu kunitoa kw dhamana.hata hvo walniambia lazma niwe na riport central police kila baada ya wik ,na toka mwzhuo nmekua narpot. Kwa kua nakaa kigoma na ndko nafanyia biznes zangu nimeona nwaombe niwe narpot kulekule hata hvo police wamekataa.mazingira ya kesi yangu ni ya kubambikiziwa .je sheria inaruhusu kufungua shaur mahakamani dhidi ya police kwa ucheleweshaji wa kunipeleka mahakamani,?je kwa kua mlalamikaji hawaniambii. je kama ntaonekana sna hatia police naweza wafungulia kesi ya madai mana naingia hasara nyngi na swala hili? Naombeni ushauri wakuu?

Tafuta wanasheria waeleze suala lako. Kisha waeleze polisi na uwape angalizo kwamba wanachofanya ni kinyume na sheria. Polisi wakigundua unajua basi hawatokusumbua!
 
Watu hawsomi na kuelewa mwndshi ana key qnstn zip,kudesa kwingi viuoni knangusha ufaham.it pains!
 
nisaidie kufafanua izo facts mana nikianza kusoma ya mtoa mada najikuta najump lines automatically.

kama unajua unajump lines kwanini unachangia kitu ambacho hauja kisoma vizuri...sasa hapo utakuwa unashauri nini?
 
Hebu leta chai kwanza tunywe.
Umesikia ccm imesema haitajishughulisha na majambazi wa eskerewuu manake hiyo ni issue ya sirikali? Umejiandikisha kuuza kura kwanza?
nisaidie kufafanua izo facts mana nikianza kusoma ya mtoa mada najikuta najump lines automatically.
 
kama unajua unajump lines kwanini unachangia kitu ambacho hauja kisoma vizuri...sasa hapo utakuwa unashauri nini?

wewe unachotakiwa ni kukosoa jibu langu na si kuleta majibizano yasiyo na msingi.
Nasubiri kuona jibu lako nijue wapi nimekosea.
 
Back
Top Bottom