mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,855
Wakuu naombeni msaada wa kisheria,mwezi wa 8 nilikamatwa na police na hatmae ndg zangu kunitoa kw dhamana.hata hvo walniambia lazma niwe na riport central police kila baada ya wik ,na toka mwzhuo nmekua narpot. Kwa kua nakaa kigoma na ndko nafanyia biznes zangu nimeona nwaombe niwe narpot kulekule hata hvo police wamekataa.mazingira ya kesi yangu ni ya kubambikiziwa .je sheria inaruhusu kufungua shaur mahakamani dhidi ya police kwa ucheleweshaji wa kunipeleka mahakamani,?je kwa kua mlalamikaji hawaniambii. je kama ntaonekana sna hatia police naweza wafungulia kesi ya madai mana naingia hasara nyngi na swala hili? Naombeni ushauri wakuu?