Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YAP ALILOSEMA SWAT NI SAWA KABISA,WANANCHI MSIWE NA WASIWASI,HII Nchi ngumu sana na mnajuaje kuwa tz inawatu kiasi gani uko,jwtz ndio jeshi mama la afrika
Mkuu msaada wakoSi bora huko jeshini, yan usalama wa taifa ndio wamejaa mamluki kibao wa Rwanda. Nchi imeoza hii. Watu wakiambiwa ukweli wanakuja na stori zao za walivyompiga Idd Amin.
Si bora huko jeshini, yan usalama wa taifa ndio wamejaa mamluki kibao wa Rwanda. Nchi imeoza hii. Watu wakiambiwa ukweli wanakuja na stori zao za walivyompiga Idd Amin.
Ana cheo gani?Askari wa JWTZ mwenye asili ya Rwanda adaiwa kutoroka Tanzania!jeshi limesema litatoa taarifa zaidi kuhusu mwanajeshi huyo anayedaiwa kutoroka na nyaraka muhimu za jeshi!!
Source: Mtanzania jumapili
Alikuwa luten kanaliWewe an
Ana cheo gani?
rwanda kama kweli wameamua urafiki na tz basi wamrejeshe huyo mtanzania mnyaru. nchi rafiki hazitorosheani askari vinginevyo tutaelewa kagame ni yuleyule mtutsi mwenye hila nyingi.Wewe an
Ana cheo gani?
Mkuu soma vzur toka mwanzo wa hii thread utaelewa baadhi ya vtu kuhusu huyo askari anayeitwa mtoro nimemalzahuyu si mtu wa kuzalau hata kidogo, unapomzungumzia Luten kanali si mtu mdogo ndugu zangu, wanajeshi fanyeni uchunguzi wa kina ila mbona usalama wamejaa na hamfatilii mnazidi kuwajaza vyeo?
Kuna yule mjeshi au afisa usalama wa,kinyarwanda alikimbilia tz alijisalimisha polisi arusharwanda kama kweli wameamua urafiki na tz basi wamrejeshe huyo mtanzania mnyaru. nchi rafiki hazitorosheani askari vinginevyo tutaelewa kagame ni yuleyule mtutsi mwenye hila nyingi.
Tuliamua kuiuza nchi yetu, hii ni kweli na kuna taasisi nyingi binafsi na selikali ambazo zina watumishi wenye asili kutoka nje ya mipaka yetu, sidhani kama kuna ufuatiliaji makini dhidi ya hawa ma economic intergence, na ma spy waliojaa kila kona na pia tukiwapa chance nzuri ya wao kutimiza mambo yao.Mtikila alishasema Kagame ana "wanajeshi wake kwenye JWTZ", watu wakampuuza, sasa huu ni mfano mmoja wapo tu....
What a shame na sabotage ya kijinga alivyofanya kama kweli atashikwa tu hata ndani ya Rwanda, every dog has his dayAlikuwa luten kanali
Mkuu jina je unalo?Alikuwa luten kanali
Maoni yangu:Itabidi wakuu waangalie upya huo uhusiano unaopigiwa debe na Kagame kama ni wa kawaida au kuna hidden agendarwanda kama kweli wameamua urafiki na tz basi wamrejeshe huyo mtanzania mnyaru. nchi rafiki hazitorosheani askari vinginevyo tutaelewa kagame ni yuleyule mtutsi mwenye hila nyingi.
Mkuu jina je unalo?
Seromba. Sikumbuki jina lake la kwanza.