Askari JWTZ mwenye asili ya Rwanda atoroka jeshini!

Askari JWTZ mwenye asili ya Rwanda atoroka jeshini!

Status
Not open for further replies.
Nchi ndogo yenye jeuri ya kukoromea kubwa ni israel tu...the rest wana beep...hata hiyo israel ilishindwa kuvamia iraq that's why she ended up pushing america and britain to engage saddam hussein...
 
Hio ni kweli kabisa...kama vita ikitokea, basi ujue itakuwa kwenye updande wa Tz tu. Angalieni majeshi yenu, fat, corrupt & tired. Mnanichekesha sana mkileta sitori za Amin za 1979; moto hamjaona
 
Ukwaju.
Naona wewe ndio unataka kumpaisha Kagame zaidi ya uwezo wake, eti Imran Kombe na Prof Mwaikasu wameuawawa na Kagame bila Usalama wa Tz kujua??? hizi conspiracy theory zako zinadhalilisha sana vyombo vyetu vya usalama.
Ukiendelea hivi siku moja utakuja kusema hata kifo cha Daudi Mwangosi Kagame anahusika pia hahaha
sio mm ila nimekupa Link kwa muda wako uisome kwani hata Imran Kombe alikuwa UWT hzi habari sio za uongo na za Jaji Mwaikusa mbona zimo humuhumu?tafuta hata kwa Google
----------
Mtikila's allegations - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...-tanzania.html[/QUOTE]

Ukwaju unaamini kila analosema Mch Mtikila????
Kuwa makini kwenye mtandao (internet) kuna mambo mengi ya ukweli na uwongo, usiamini kila lilokwenye mtandao kwani hata waongo na wapotoshaji pia wanaandika humu.
Ukisoma jaribu na wewe mwenyewe kuchambua ujue ukweli zaidi
 

Ukwaju unaamini kila analosema Mch Mtikila????
Kuwa makini kwenye mtandao (internet) kuna mambo mengi ya ukweli na uwongo, usiamini kila lilokwenye mtandao kwani hata waongo na wapotoshaji pia wanaandika humu.
Ukisoma jaribu na wewe mwenyewe kuchambua ujue ukweli zaidi[/QUOTE]
Sawa Mkuu nitakuwa makini kwa hizi habari
lakini kilio changu kumbuka Historia huwa inakanyagwa kwa maslahi ya wengi ndio Maana Google huwa wanakubali km kuna mtu anayepinga hiyo habari ha huondolewa
Tito Okello aliongoza mapinduzi ya Zanzibar pale Unguja akitokea Pemba usiku wa tarehe 11 January 1964 na Abeid A. Karume alijificha DSM
leo yuko wapi Okello na Historia yake.
namkumbuka sana Mwandishi J. Mihangwa na Mchungaji Mtikila wana Historia nzuri kwa vizazi vyenu na vijavyo msiotaka kupekuwa mkisubiria zichujwe kwanza baada ya kupikwa
 
Last edited by a moderator:
sioni uhusiano wa kufa kwa wakili na uhusiano wa ushahidi dhidi ya kagame kupotea, hiki ni kizungumkuti kingine.

Ushahidi hautapotea ila atakayejipeleka kuutoa atamalizwa hata abebwe na Air Force One
A few days later, Bill Clinton landed at the airport in Kigali, Rwanda, and after the famous speech, he ordered Paul Kagame to kill anyone who may know the assassination of Habyarimana, starting with those listed on the memo Hourigan had given Louise Arbour in The Hague a few days ago: it was the beginning of the long history of assassinations around the world and around the clock.

But in January 2009, when Obama became U.S. President Clinton and Kagame, who were friends in crime, become enemies to justice. Why? Obama Kagame ordered the arrest of the Congo General Laurent Nkunda and Kagame reaction plotted to kill Obama, seeking help from Clinton and Tony Blair to shoot Air Force One, in exactly the same way he done to eliminate Dr. Alison Des Forges. When the information became public, probably knew that Obama, Clinton himself had taken the distance Kagame.
Ipo siku kila kitu kitakuwa hadharani tusubiri km MUNGU ni huyu tunayemuamini
 
DOCUMENTARY itakuja tu MUNGU wetu ni mkubwa kwa hawa madiktekta
Kombe mauaji yake kuna conspiracy theory nyingine kuwa alikuwa nyuma ya Lyatonga Mrema kabla hajawa ------- kisiasa, Kuhusu Mwaikusa kuna conspiracy theory ya kuonana uso kwa uso na Daud Balali nasikia mtanzania ukimuona Balali ndio mauti yako, kafichwa kukibeba chama na serikali. JK haaminiki unaweza kuwa ni vita ya kugombea demu na Kagame, we need to dig more.
naomba nisahihishwe hapo kwenye RED kuna #112 imeonekana ni post yangu, au iko kibahati mbaya kweny post zangu zangu hiyo sio mm na siwezi kumkashifu Rais wangu
Jioni njema aliyeni PM kwenye INBOX
 
ukwaju naona umemgeuza kagame mungu
du mimi ni Mkabila haswa siwezi kumpenda Mtutsi hata awe Ikulu, leo nakunywa maana kuna Kigingi kimoja kimeng'ooka huko Wizarani maana kilikuwa kinawakingia wenzake viwanja na huenda ndio mwanzo wa kuwasaka hata walioko Ikulu maana Kagame ndio anawasiliana nao
Hureeeee RUTA kajiuzuluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
jambo dogo sana kijeshi,kwa kawaida kila nchi ina pandikizi ktk nchi nyingine,msiogope wananchi
 
As a result, lying is a crime if it is used or intended as a means of committing a crime under such a public law
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom