Mungu amlaani huyo jamaa agongwe na gari afe na kila alichochukua kirudi eeh mungu unajua sisi tunaziweka nchi za jirani katika hali nzuri kwa mamlaka yako zitulie halafu linyanga'u fulani linasaliti daah mungu yupo nasi na yupo na jeshi letu.
Askari wa JWTZ mwenye asili ya Rwanda adaiwa kutoroka Tanzania!jeshi limesema litatoa taarifa zaidi kuhusu mwanajeshi huyo anayedaiwa kutoroka na nyaraka muhimu za jeshi!!