Unakoandika wewe hapa nishapita zamani sana.Wewe ndio mjinga, jifunze kusikiliza na kufuatilia mambo si kubwabwaja tu kisa umepewa mdomo wa kubwatuka
Mnachoshindwa kuelewa ni kufikiri kila sehemu inatakiwa siasa, soma amri za jeshi na si kulazimisha mambo, huko ni jeshini, acheni mihemko
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawajua wastaafu wanavyotia huruma, kwa sababu ya uongozi mbovu.Wastaafu wa nchi hii wengi mental disorder
Hoja hupinga hoja. Kwa mstaafishwa wako hakuna hoja. Kwa nini apoteze hoja yake kwenye upuuzi!Mpinge kwa hoja usilete kejeli bwashee!
Siasani wiki hizi za karibuni kumekuwa hot Sana. Watu wanaogeshana matusi kutoka hata kwa watu usiowadhania.
Mkuu unaheshima kubwa Sana hapa JF si kwa sababu tunakufahamu physically bali kwa michango yako unayoitoa.
Rudi kuwa Kiranga yule tunayemfahamu please!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika!Kama wewe ulivyojiunga na ujinga wako Jamiifrorum na kuendeleza ujinga wako kwenye kuchangia hoja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo yake ni kweli kwa sababu hawa jamaa wa magereza huwa hawatumii akili ili kufikiri, bali wanatumia makalio.
Wenye kutumia akili huwa wanatumia maarifa kufanya maamuzi, hata poli si wetu vilevile nao sijui wanakwama wapi.
Wanashindwa hata kutafuta ka uwongo kanakofanana na ukweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
Endlelea kutekeleza sera ya chama chenu ya matusi. Mbona unatukana kidogo sana hutaajiliwa wewe.Chama gani? Unaweza kuthibitisha kwamba ni chama changu mnafiki wahed wewe?
Unajua kusoma kwa ufahamu ngumbaru wewe?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Hizo porojo za "toa vifungu" ni humu jf na sio eneo la magereza.Toa vifungu vya taratibu, sheria, katiba na vilipovunjwa.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Mimi nawapongeza KM kwa kutoa kipigo safi kilichonyooka.Yaani huyu mpumbwavv anataka kusema hata askari magereza akiua mtu yeyote maeneo ya gereza hakuna kosa!!!
Mstaafu naona kamaliza pensheni yake mapema!!
Sent using Jamii Forums mobile app
You are just being utopian Mzee.Tanzania ni nchi inayotakiwa kuongozwa kwa kufuata sheria.
CHADEMA kama chama cha upinzani ni kazi yao kuhakikisha hilo.
Na kama wamemulika kuwa magereza hawafuati sheria nabkatiba, hapo wanafanya kazi yao tu.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Nimepita humo mote zamani sana, tatizo hujaona tu.Hizo porojo za "toa vifungu" ni humu jf na sio eneo la magereza.
Nimepita kote huko zamani sana, tatizo hujasoma tu.You are just being utopian Mzee.
Okay, assume that you're right. Then be pragmatic or advise chadema to be soNimepita kote huko zamani sana, tatizo hujasoma tu.
Nimeelezea kilichopo, kwa hivyo siwezi kuwa Utopian.
Nimeelezea pia kinachotakiwa kuwepo.
Mtu aliye Utopian ni mtu anayeelezea kinachotakiwa kuwepo bila kukubali kilichopo.
Na mtu anayeshikilia kilichopo tu, bila kuelezea kinachoweza kuwepo, si kweli kwamba anakataa kuwa Utopian, bali anakataa maendeleo.
Hakuna maendeleo bila kukataa yaliyopo na kutaka yaliyoendelea zaidi.
Unaponipinga mimi kwa karata ya kuniita Utopian, hukatai Utopia, unakataa maendeleo.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Unaelewa kwamba watu wote wangeamua kuwa "pragmatic" kwa standard za wakati wao, usingekuwa na internet leo?Okay, assume that you're right. Then be pragmatic or advise chadema to be so
Nakupinga mtoa mada. Ule uovu ulipangwa na Mkuu wa Gereza kupitia maagizo kutoka kwa akina Makonda na Mambosasa. Mbona Humphrey Polepole alipokwenda kumchukua Mashinji CCM waliingia wengi kama mwenyewe Mashinji anavyosema hapa;Afisa mstaafu wa jeshi la magereza ndugu Mwakibinga amenieleza kuwa kilichotokea pale Segerea kati ya akina Halima Mdee na askari walinzi wa gereza ni sawa kabisa na Gari kugongana na Treni kwenye eneo ambalo Reli imevuka barabara " Railway cross Road"
Vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu uwapo eneo la gereza raia unapaswa kuheshimu na kutii maelekezo yote unayopewa na askari au maofisa magereza na si vinginevyo anasema Mwakibinga.
Hata upelelezi wa matukio ya namna hauwezi kuchukua zaidi ya dakika 30 kwa sababu utaratibu wa Magereza kwa wageni uko wazi kabisa, amemalizia Mwakibinga.
Binafsi bado natafakari hii ya " Railway cross Road" mara nyingi magari ndio huchakazwa chakari na kesi hubebeshwa wao, kweli mwenye nguvu mpishe.
Maendeleo hayana vyama!
Jichanganye unapigwa shaba na kesi ni nyepesi tu,,,aisee chezea maeneo yoooote nenda hata Ikulu unaweza kusema nilitaka kumsalimia Rais lkn si magereza!!!! Mungu akipenda nitawaletea somo kuhusu maeneo nyetiYaani huyu mpumbwavv anataka kusema hata askari magereza akiua mtu yeyote maeneo ya gereza hakuna kosa!!!
Mstaafu naona kamaliza pensheni yake mapema!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vizuri, kesi ipo!!Jichanganye unapigwa shaba na kesi ni nyepesi tu,,,aisee chezea maeneo yoooote nenda hata Ikulu unaweza kusema nilitaka kumsalimia Rais lkn si magereza!!!! Mungu akipenda nitawaletea somo kuhusu maeneo nyeti
Bulaya ana mtoto yuko sekondari bwashee!Inabidi wakipona watafutiwe waume wawazalishe labda watakua na majukumu mengine ya kuwaogofya na kuwafikirisha kabla ya kufanya utumbo
Sent using Jamii Forums mobile app