Askari mstaafu: Walichofanya Mdee na wenzake pale Segerea ni sawa na Gari kugonga Treni kwenye "Railway cross Road"

Askari mstaafu: Walichofanya Mdee na wenzake pale Segerea ni sawa na Gari kugonga Treni kwenye "Railway cross Road"

Kila siku nawambia ndugu zangu cdm haina viongozi ina watu wenye mihemko ya kisiasa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilisema mapema kuwa uchunguzi wala hautacherewa maana maeneo ya majeshi yanasheria zake.
Kwanza walishaitukana mahakama
Pili.wamewatukana magereza kiasi cha kuwafanya watoe ufafanuzi
Tatu.. kugombana na askari.

Sasa najiuliza ikitokea wamehukumiwa huko jela siwatalimia meno?
Kama sasa hivi magereza yanahitaji wafungwa wa kwenda kulima huko kigoma michikichi.
Kama Bulaya na mudee! Natamani wakashike jembe.
 
Askari wote nchi wanaopanda vyeo ni makada wa ccm. Ni nadra sana kupata askari ambaye sio mwanachama na kada wa ccm. Kazi hizi hutokewa kwa upendeleo huu tangu wakati wa chama kimoja
Kwa alie wahi kwenda Segerea anajua utaratibu ni upi.
Hawa kina Halima mdee sio mara ya kwanza kwenda Segerea na Safari ya kwenda kumtoa Mbowe baada ya kulipa faini iliongozwa na Wakili wa Chadema kama taratibu.
Msafara wa magari ulimalizia nje gate no. 1 na magari machache yali ruhusiwa kupita kwa kibali kama kawaida
Kuingia ndani kuna gate namba mbili ambako ukipita unapokelewa kwa ajili ya taratibu nyengine.
Msafara huu wa kina halima uloruhusiwa haukufika gate namba mbili kwani ulikua ni kama unasuburiwa uingie kwenye himaya ya magereza.
Ulipokua njiani kwenda gate namba mbili walianza kuwa attacked na askari magereza kwa kushushwa kutoka ndani gari zao na kuanzanza kupigwa vipigo na bila msaada wowote.
Tunasema kina halima , bonny na Bulaye wao waliruhusiwa kwenda ndani na wakapigwa huko ndani na askari magereza.
Kwa wale ambao walikua nje ya barabarani wakaletwa askari wa staki shari na kuanza kuwapiga kwa mabomu na risasi za moto.
Hivyo sakata zima ni la kupanga kabisa na askari wa magereza walofanya uhalifu wengine waliwaambia kina Halima kuwa tulikua tunakusubirini.
Boniface yeye ali nongonezwa astahamiki kichapo asijaribu kukimbia kwani amri angekimbia angepigwa risasi.
Kilicho fanyika ni ushenzi na unyama wa ccm kwa kulitumia jeshi la polisi na magereza ambao ni makada wao kufanya ushenzi ule.



Sent from my iPad using JamiiForums
Inamaana wewe hukupata kirungu hata Cha ugoko Mkuu maana kwa maelezo haya Kama ulikuwepo kabisa..

Typed Using KIDOLE
 
Mm huwa narudia rudia kila siku humu, ikiwa akili na tabia za viongozi wa CHADEMA ndio kama za akina Halima, Bulaya, ujue wafuasi/followers wao ni nusu mfu, haiwezekani kabisa uwe kiongozi tena mbunge ambaye anajua kabisa sheria alafu unaenda kuleta vurugu, fujo na kuvamia geti la magereza huku ukijua hilo ni kosa kubwa sana. Je wangewashinda Askari magereza nguvu sbb walikuwa wengi na wafungwa wa magereza wangetoka na kukimbia ingekuwaje? Hili ni kosa kubwa sana haihitaji hata mtu kuwa mwanasheria kujua hili. Hii ni sawa kuvamia kituo cha polisi ukiwa na wafuasi 27 na kuanza kupambana na maskari walioko kituoni. Upumbavu usio na mfano huu, wamedekezwa sana akina Halima, ingekuwa mm ndio IGP, hiiiiii, haiwezekani mtu utoke huko na wafuasi hadi 27 alafu unavamia magereza lenye wafungwa kadhaa, haiwezekani, kisa unajiona mwanamke unatumia gender kama kinga labda usipigwe, nasema mm ningepiga hadi namdandia mgongoni, pumbaf Halima ww, umeonyesha hufai hata kidogo kuwa kiongozi, adhabu yao najua itakuwa kali sana, tusubiri 😡😡
1584290978922.png
 
Hii train haikumuona polepole na wafuasi wake pamoja na waandishi wa habari pale segerea?
 
Hakuna kesi ya msingi hapa.huu ni mwendelezo wa kuuminya upinzani na manyanyaso dhidi ya demokrasia na Uhuru wa nchi hii. Freedom is coming.interahamwe wa CCM mjiandae qumamaeee zenu
Kina Halima walikosa intelligensia ya kung’amua madhara. Pole zao, tunawaombea wapone ili waendelee na kesi ya uvamizi na kuchana sare ya askari
 
Ww ndo unatumia makalio kufikiri, magerexa cyo airport au kweny harusi mnaenda kundi et kumpokea, kila sehem na taratibu zake, fanya uchnguzi sehem za magerexa na mahakama cyo za kwenda na mihemko , mbn wao ulipoenda kupokelewa hayakutokea hayo, hasira za kike bhana yaani wao walienda na zile hasira za kukaa GEREZANI....
Maelezo yake ni kweli kwa sababu hawa jamaa wa magereza huwa hawatumii akili ili kufikiri, bali wanatumia makalio.

Wenye kutumia akili huwa wanatumia maarifa kufanya maamuzi, hata poli si wetu vilevile nao sijui wanakwama wapi.
Wanashindwa hata kutafuta ka uwongo kanakofanana na ukweli??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sishangai nchi hii sijawahi kuona Askari magereza mwenye maendeleo
 
Toa vifungu vya taratibu, sheria, katiba na vilipovunjwa.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Kiranga, WAKATI HIVYO VIFUNGU VINAPOKUWA VINATAFUTWA WAHUSIKA WATAKUWA WAMELAZWA HOSPITAL WAKIWA VILEMA NA UKISHA KUWA KILEMA WEWE SI YULE TENA YAKIPITA MAWINGU TU UNAGUGUMIA
 
Afisa mstaafu wa jeshi la magereza ndugu Mwakibinga amenieleza kuwa kilichotokea pale Segerea kati ya akina Halima Mdee na askari walinzi wa gereza ni sawa kabisa na Gari kugongana na Treni kwenye eneo ambalo Reli imevuka barabara " Railway cross Road"

Vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu uwapo eneo la gereza raia unapaswa kuheshimu na kutii maelekezo yote unayopewa na askari au maofisa magereza na si vinginevyo anasema Mwakibinga.

Hata upelelezi wa matukio ya namna hauwezi kuchukua zaidi ya dakika 30 kwa sababu utaratibu wa Magereza kwa wageni uko wazi kabisa, amemalizia Mwakibinga.

Binafsi bado natafakari hii ya " Railway cross Road" mara nyingi magari ndio huchakazwa chakari na kesi hubebeshwa wao, kweli mwenye nguvu mpishe.

Maendeleo hayana vyama!
Uandishi wako kama vile ni Ndugu yetu P, na multiple IDs
 
Back
Top Bottom