Askari mstaafu: Walichofanya Mdee na wenzake pale Segerea ni sawa na Gari kugonga Treni kwenye "Railway cross Road"

Afisa mstaafu wa jeshi la magereza ndugu Mwakibinga amenieleza kuwa kilichotokea pale Segerea kati ya akina Halima Mdee na askari walinzi wa gereza ni sawa kabisa na Gari kugongana na Treni kwenye eneo ambalo Reli imevuka barabara " Railway cross Road"

Vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu uwapo eneo la gereza raia unapaswa kuheshimu na kutii maelekezo yote unayopewa na askari au maofisa magereza na si vinginevyo anasema Mwakibinga.

Hata upelelezi wa matukio ya namna hauwezi kuchukua zaidi ya dakika 30 kwa sababu utaratibu wa Magereza kwa wageni uko wazi kabisa, amemalizia Mwakibinga.

Binafsi bado natafakari hii ya " Railway cross Road" mara nyingi magari ndio huchakazwa chakari na kesi hubebeshwa wao, kweli mwenye nguvu mpishe.

Maendeleo hayana vyama!
Huyo Mwakibinga ni utopolo tu ....Tumia akili yako usije ukaonekana na wewe ni utupolo...

Cheki na mstaafu mzee Mgaya uone maoni yake [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwambie akwambie na historia ya jeshi usimuulize kiwango cha elimu
 
Afisa mstaafu wa jeshi la magereza ndugu Mwakibinga amenieleza kuwa kilichotokea pale Segerea kati ya akina Halima Mdee na askari walinzi wa gereza ni sawa kabisa na Gari kugongana na Treni kwenye eneo ambalo Reli imevuka barabara " Railway cross Road"

Vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu uwapo eneo la gereza raia unapaswa kuheshimu na kutii maelekezo yote unayopewa na askari au maofisa magereza na si vinginevyo anasema Mwakibinga.

Hata upelelezi wa matukio ya namna hauwezi kuchukua zaidi ya dakika 30 kwa sababu utaratibu wa Magereza kwa wageni uko wazi kabisa, amemalizia Mwakibinga.

Binafsi bado natafakari hii ya " Railway cross Road" mara nyingi magari ndio huchakazwa chakari na kesi hubebeshwa wao, kweli mwenye nguvu mpishe.

Maendeleo hayana vyama!
Amekueleza wewe kama mkewe au?

unazani kila Askari ni mzima kichwani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makisha ndio nn mkuu.sasa unatetea ujinga walichofanya wajinga hao wa chadema
IQ ni nini?

Unaweza kuielezea na kuitetea kwa uthabiti kwamba ni kitu kilichopo kweli na si hadithi ulizomezeshwa jumlajumla tu?

Na unaposema "mnafanya makosa" unanihusishaje mimi na kufanya makosa?

Mimi ninefanya makisa gani? Unaweza kuyataja hapa?

Unaelewa unachoandika au unaharisha tu?

Sent from my typewriter using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walivamia gereza la segerea kwa mabomu na siraha kali za kivita ndio maana wakadhibitiwa.. [emoji23][emoji23]Policcm buana ni shida
Kina Halima walikosa intelligensia ya kung’amua madhara. Pole zao, tunawaombea wapone ili waendelee na kesi ya uvamizi na kuchana sare ya askari
 
Makisha ndio nn mkuu.sasa unatetea ujinga walichofanya wajinga hao wa chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga upi?

Tujadili mambo kwa kituo, si kiujumla jumla.

Unaelewa kwamba magereza ya Tanzania hayafuati taratibu na viwango ambavyo vimekubalika na mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imesaini?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Unaweza kukuta bado anaishi kota za magereza.
Haingii akilini watu wavamie gereza ili kumtoa Mbowe wakati tayari alishalipwa faini yake.
Kama wangekuwa na nia ovu ya kufanya hivyo kwanini wasingevamia siku ya kwanza baada ya hukumu kutoka?
Tuache ushabiki wa kihanithi.
Huyo askari magereza amestaafu na ujinga wake.
 
Huyu mzee anaongea utadhani sio binadamu, utadhani katolewa leo serengeti
Afisa mstaafu wa jeshi la magereza ndugu Mwakibinga amenieleza kuwa kilichotokea pale Segerea kati ya akina Halima Mdee na askari walinzi wa gereza ni sawa kabisa na Gari kugongana na Treni kwenye eneo ambalo Reli imevuka barabara " Railway cross Road"

Vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu uwapo eneo la gereza raia unapaswa kuheshimu na kutii maelekezo yote unayopewa na askari au maofisa magereza na si vinginevyo anasema Mwakibinga.

Hata upelelezi wa matukio ya namna hauwezi kuchukua zaidi ya dakika 30 kwa sababu utaratibu wa Magereza kwa wageni uko wazi kabisa, amemalizia Mwakibinga.

Binafsi bado natafakari hii ya " Railway cross Road" mara nyingi magari ndio huchakazwa chakari na kesi hubebeshwa wao, kweli mwenye nguvu mpishe.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mbona mnajishaulisha kuwa CCM ndiyo wenye dola..? mlimsikiliza polepole anawambia yeye ni msaidizi wa Magufuli kama mwenyekiti wa CCM kwa upande mwingine tambua pia ni Rais.

Haya ya ubishi wa kijinga ndiyo yaliyopelekea TL akambwatuliwa. Mtoto hawezi kumtukana mzazi wake afu adai ale na kutunzwa na mzazi huyohuyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kuna shida ya uelewa
Gerezani kuna huduma inayofuatwa vinginevyo kungekuwa na taratibu nyingine.
Lkn
Mbona wengine wamekwenda na sare na makamera lkn hawakufanywa lolote.
Msipotoshe ukweli .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mbona mnajishaulisha kuwa CCM ndiyo wenye dola..? mlimsikiliza polepole anawambia yeye ni msaidizi wa Magufuli kama mwenyekiti wa CCM kwa upande mwingine tambua pia ni Rais.

Haya ya ubishi wa kijinga ndiyo yaliyopelekea TL akambwatuliwa. Mtoto hawezi kumtukana mzazi wake afu adai ale na kutunzwa na mzazi huyohuyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni mawazo ya kizamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom