Askari mstaafu: Walichofanya Mdee na wenzake pale Segerea ni sawa na Gari kugonga Treni kwenye "Railway cross Road"

Askari mstaafu: Walichofanya Mdee na wenzake pale Segerea ni sawa na Gari kugonga Treni kwenye "Railway cross Road"

I wish i could be ofisa magereza, kuna mtu angekatwa kiuno, maana hawa nyumbu hawishagi matusi, na mara nyingi wanafanyaga kwa masifa waonekane kua makamanda na hawaogopi, ndio maana walivtoka gerezan walikua wanajigamba wamekiwasha na wanaogopeka, SIFA ZA KIJINGA, sasa dawa yao ni kuwavunja meno na viuno ili kila wakiona majeraha watambue walikosa kutafuta misifa mbele ya askari

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnashindana kwa roho mbaya na ukatili ili kumpita yule jiwe kuu la magogoni
 
Hao ni wanachama wa ccm waliovaa nguo za askari magereza!

Kuna wengine nao huwa wanavaa nguo za polisi kwenye matukio mbalimbali. Unakuta kimjamaa cha uvccm kikiwa na tumisuli misuli wanakivisha nguo za FFU!

Ukishaona chama cha siasa kinavaa nguo za mapolisi ujue hapo huna chama tena. Hilo ni genge la wahalifu ambao wanatakiwa kuwajibishwa!
 
Hakuna kesi ya msingi hapa.huu ni mwendelezo wa kuuminya upinzani na manyanyaso dhidi ya demokrasia na Uhuru wa nchi hii. Freedom is coming.interahamwe wa CCM mjiandae qumamaeee zenu
Duh.......!
 
Kiranga, WAKATI HIVYO VIFUNGU VINAPOKUWA VINATAFUTWA WAHUSIKA WATAKUWA WAMELAZWA HOSPITAL WAKIWA VILEMA NA UKISHA KUWA KILEMA WEWE SI YULE TENA YAKIPITA MAWINGU TU UNAGUGUMIA
Nimeomba vifungu. Hujanioa.

Hayo yote uliyoyaandika nayajua.

Lakini, si msingi wa mjadala.

Kuna mambo mawili naomba tuelewane.

1. Kubishana na magwreza, polisi etc ni sawa? Hata kama wanavunja haki?

Sijasema kwamba ni sawa. Kwa sababu unaweza kukutana na magwrwza au polisi mjinga akakuua kwa sababuumekataa kukubali kupiga magoti.

2. Polisi au Magereza kuvunja haki, sheria na taratibu zilizokubalika na nchi kwa Tanzania kutia saini mikataba ya kimataifa ni sawa?

Si sawa.

Sasa, usichanganye jambo la kwanza na la pili.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Wasamehewe tu bwashee hii ni mizuka ya kisiasa!
Mzuka manake Nini jomba..Sasa kila mtu akileta mzuka wake hivi tutakuwa na amani kweli..amani itavunjika..sijui tutamlaumu Nani, au tutawageukia Askari kuwalaumu kwamba hawatimizi majukumu yao ..hehehehe..wacha sheria ichukue mkondo wake na Tena nashauri wachuliwe hatua Kali Sana ili iwe fundisho kwa wengine haya yasije kutokea tena
 
Ndio maana mnavunjwa mikono...umeshindwa kujibu hoja unaleta matusi ukipapaswa kidogo mnataka waTZ tuwaonee huruma!!!

Typed Using KIDOLE
Hoja iko wapi hapo?

Nimevunjwa mkono wapi?

Mtu akiketa mkojo anarudishiwa mavi.

Unataka kutukanwa na wewe?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Duh.. Kumbe ukitekenywa unalowana kabisa tayari kwa kuwekwa kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Fucktard imbecile.

Unataka kutukanwa na wewe?

Leo nina matusi ya ziada yanahitaji kupunguzwa kwa mse.nge baridi yeyote anayejipendekeza.

Kama ulifikiri siwezi kutukana umekosea sana.



Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Halafu hapo hapo utasikia wastaafu wanalalamika hawajalipwa mafao yao!

Kama hawajui kwamba hii roho mbaya ya kujiona wao treni na wengine magari ndiyo inawatafuna waogelee kwenye umasikini maisha yote.

Na uhuru wa kisiasa ni moja ya mambo yatakayochangia ujinga huo kuisha.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Inamaana wewe hukupata kirungu hata Cha ugoko Mkuu maana kwa maelezo haya Kama ulikuwepo kabisa..

Typed Using KIDOLE
Ni part ya Waandishi habari askari hawakututaka sisi un fact waliwafata kina Halima tu


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Umetekeleza sera kuu ya chama chenu ya matusi. Asante kwa kutekeleza sera yenu kwa uadilifu.

Nikikujibu kwa kukutukana ni sawa na kumfukuza kichaa aliyekukuta ukioga akachukua nguo zako na kukimbia nazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chama gani? Unaweza kuthibitisha kwamba ni chama changu mnafiki wahed wewe?

Unajua kusoma kwa ufahamu ngumbaru wewe?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
johnthebaptist ,

..mimi naamini umati uliokwenda kumchukua Mh.Mbowe ulikuwa umati wenye FURAHA.

..sidhani kama walikwenda Magereza kuleta shari, kumpiga mtu, au kuharibu mali.

..that was a happy and jubilant crowd.

..huenda askari wetu wametumwa, au wana CHUKI fulani dhidi ya CDM.

..haiwezekani CDM wawe ktk hali ya FURAHA halafu atokee askari aanze kuwapiga karibia kuwauwa.
Walivamia gereza la segerea kwa mabomu na siraha kali za kivita ndio maana wakadhibitiwa.. [emoji23][emoji23]Policcm buana ni shida
Hivi unajua kesi za aina ya matumizi ya silaha ni kwamba iwe bunduki,shoka,kisu, kiwembe, nondo, bomu zipo kapu moja
 
Wastaafu wa nchi hii wengi mental disorder
Halafu hapo hapo utasikia wastaafu wanalalamika hawajalipwa mafao yao!

Kama hawajui kwamba hii roho mbaya ya kujiona wao treni na wengine magari ndiyo inawatafuna waogelee kwenye umasikini maisha yote.

Na uhuru wa kisiasa ni moja ya mambo yatakayochangia ujinga huo kuisha.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Sio kila mzee ana busara,hata wapumbav huzeeka!
Yaani huyo askari anachosema haijalishi matokeo ni nini,hata kama hao jamaa wangeamua kuwapiga risasi na kuwaua wote waliokuwepo pale,ni sawa tu!
Ni sawa tu
 
Hii tabia ya kupenda kukandamizana ni moja ya sababu kubwa hatuendelei.

Na mkiendelea kusifia ujinga hivi mtakuwa masikini wajinga daima.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Wewe ndio mjinga, jifunze kusikiliza na kufuatilia mambo si kubwabwaja tu kisa umepewa mdomo wa kubwatuka

Mnachoshindwa kuelewa ni kufikiri kila sehemu inatakiwa siasa, soma amri za jeshi na si kulazimisha mambo, huko ni jeshini, acheni mihemko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom