mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
si ndo vizuri
Au wamemnyonga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au wamemnyonga?
Maisha hayana maana kwake
Anaweza kuwa kanyongwa pia
Nisingekuwa naishi hadi sasa.Hata kwako hayana maana
Hilo nalo neno.Au wamemnyonga?
Vile degree holder ana reason sasa[emoji23], bora mtu aliyepata four au zero can reason well !Majeshi ajirini watu waliofaulu mitihani, hizo four na zero IPO siku watatumia hizo silaha kuua wengine kisha na wao kujiua.
MTU aliyepata four au zero hata akiachwa na mwanamke anaumia sana kutokana na reasoning capacity YAKE kuwa chini, atachukua SMG+risasi 30.....
Matako yako wewe,kwahiyo ukifaulu mtihani ndo unakuwa una reason vizuri sioMajeshi ajirini watu waliofaulu mitihani, hizo four na zero IPO siku watatumia hizo silaha kuua wengine kisha na wao kujiua.
MTU aliyepata four au zero hata akiachwa na mwanamke anaumia sana kutokana na reasoning capacity YAKE kuwa chini, atachukua SMG+risasi 30.....
Nini umuhimu au faida ya kuishi duniani?Nisingekuwa naishi hadi sasa.
Kwangu maisha si zaidi ya kula na kunywa mengine yoote ya ziada tu
Kkkkk samahani potiMatako yako wewe,kwahiyo ukifaulu mtihani ndo unakuwa una reason vizuri sio
Mbona akina mwigulu hawareason vizuri.We kijamaaa bado unaishi kizamani,ety kipimo Cha kuweza kureason vizuri ni mitihani.
Nyama weeeeeee😁
Ni Kula na kunywa mengine sio lazimaNini umuhimu au faida ya kuishi duniani?
Tuna rely kwenye taarifa zilizotokaUtajuaje kawekewa au kalazimishwa kuandika kabla ya kunyongwa?
Haya mambo mapana sana?
Ni Kula na kunywa mengine sio lazima
Huu uzi au uunganishwena ule wa mjeshi Dodoma? Mbona jumbe wanazoacha zinafanana?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Akili za darasani na akili za kuchanganua mambo kwenye maisha nje ya shule hususani mapenzi hakuna uhusiano wowote. Kuna watu wanaufaulu mkubwa darasan lkn kwingine ni ng'ombe kama ng'ombe wengine.Majeshi ajirini watu waliofaulu mitihani, hizo four na zero IPO siku watatumia hizo silaha kuua wengine kisha na wao kujiua.
MTU aliyepata four au zero hata akiachwa na mwanamke anaumia sana kutokana na reasoning capacity YAKE kuwa chini, atachukua SMG+risasi 30.....