Askari Polisi Ajinyonga akiwa Guest House na kuacha ujumbe, "Maisha hayana maana"

R.I.P Afande.

Stress zitamaliza waungwana wengi.

Hapo ameshindwa kutatua changamoto kadha wa kadha,akaamua kujitundika.

Vingine unakaza na kuviburuza maisha ya songe.
 
Vile degree holder ana reason sasa[emoji23], bora mtu aliyepata four au zero can reason well !
 
Matako yako wewe,kwahiyo ukifaulu mtihani ndo unakuwa una reason vizuri sio
Mbona akina mwigulu hawareason vizuri.We kijamaaa bado unaishi kizamani,ety kipimo Cha kuweza kureason vizuri ni mitihani.

Nyama weeeeeee😁
 
Matako yako wewe,kwahiyo ukifaulu mtihani ndo unakuwa una reason vizuri sio
Mbona akina mwigulu hawareason vizuri.We kijamaaa bado unaishi kizamani,ety kipimo Cha kuweza kureason vizuri ni mitihani.

Nyama weeeeeee😁
Kkkkk samahani poti
 
kwani huko tunapoenda hatuendi kula na kunywa?
Hata Mimi kwangu maisha ya dunia hayna maana.najiandaa na akhera kwenye maisha ya milele
Ni Kula na kunywa mengine sio lazima
 
Yawezekana.kunazuluma aliwahi kuifanya kwa mtu asie nahatia, sasa imemtafuna
Usiombe ukakutana na askar mwenye njaa kali huku wewe una kakitu mfukoni, lazima atakataka akachukue kinguvu kama kibaka. Sanyingine siyaonei huruma haya maaskariote, nimakatili wacha ya kufe tu kudadek zao
 
Akili za darasani na akili za kuchanganua mambo kwenye maisha nje ya shule hususani mapenzi hakuna uhusiano wowote. Kuna watu wanaufaulu mkubwa darasan lkn kwingine ni ng'ombe kama ng'ombe wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…