Uende kwa njia sahihi na sio hio ya kujikatishakwani huko tunapoenda hatuendi kula na kunywa?
Hata Mimi kwangu maisha ya dunia hayna maana.najiandaa na akhera kwenye maisha ya milele
Je gia ikingangania mpaka DecHuu mwezi upite tu kumamaake umekaa kishari shari
"Napenda kuwaomba wazazi msizae watoto wa hovyo hovyo kama Hamza" by AIJIPI ziro breini!Hawa makamanda wanaojiua hovyo wangetusaidia kwanza kabla ya kujiua wawe wazalendo, watuondolee kwanza hawa wasumbufu kwenye tozo nk kuliko kufa kihasara hasara askari mzima halafu unatuandikia viujumbe uchwara visivyo jibu hata maswali ya msingi
Hapo kazi kudadekiJe gia ikingangania mpaka Dec
Itakuwaje
Ova