Askari polisi Koplo Juma Mswa na Konstebo Mataba Matiku waliomuua Luteni Generali Imran Kombe tar 30.6.1996 Bado ni watumishi wa Jeshi la Polisi?

Acha uongo. Hiyo picha ya marehemu Imran Kombe uliionea wapi?
 
Mambo matatu makubwa.Moja nguvu ya pesa-aliyeibiwa gari ni tajiri wa kihindi.Wapelelezi wametoka Dar kutafutamgari ya tajiri.Ibiwa uone kuwa utapata msaada huo.La pili ni weledi wa askari wetu.Wamexhindwa kumgundua mwizi wanayemtafuta na wakafananisha.La tatu ni kutokufuata sheria.Polisi wanatakiwa wakamate,wapeleke mahamakani mtu ahukumiwe.Wao wanahukumu papo hapo.
 
Shkamoo kaka p.... Aya ya kwanza imebeba maana halisi ya wewe.
 
Shkamoo kaka p.... Aya ya kwanza imebeba maana halisi ya wewe.
Mkuu karena , mimi ni miongoni mwa members wa JF, very real, truthful and very open hadi private life!. Licha ya kuzaliwa na dingi na Maza wa kule, tumezaliwa 8, hivyo haiwezekani sisi wote 8 tukawa recruited kule!, mimi siko kule na ndio maana wale jamaa wakiboronga, nawabamiza sana humu TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
P
 
Safi sana mkuu, na hongera sana asante sana kwa ufafanuzi nimeelewa vizuri, kongole kwako ni miongoni mwa members ninaofwatilia sana nyuzi zako, najifunza vitu vingi mno kupitia wewe. Kongole tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…