Askari Polisi ni wengi leo Mitaa ya Dar es Salaam, wanaimarisha ulinzi na wanaonekana wapo tayari kwa “kazi”

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
​

Naona ulinzi umeimarishwa mitaa ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam, maeneo mengi kuna askari ambao wanaonekana wapo tayari kwa kazi wakiwa na silaha, magari ya maji ya kuwasha, virungu na vingine vingi.
 
Watakuwa wanalinda usalama kama kutatokea vurugu,ndio kazi yao.Au we unasemaje...?
 
Wacha wawe wengi ili wananchi wamuone huyu mama ni dikteta wamdharau.

Vyovyote vile hii ni positive kwa upinzani na ni aibu yenye kumdharaulisha huyu mama na serikali yake oga kama kunguru.

Pia ni ulimbukeni tu wa madaraka, wa kujaribu kuproject power mbele ya wananchi.

Pathetic!
 
Huyu bibi haamini katika haki wala demokrasia. Nchi imepata laana, tunatawaliwa na mawakala wa shetani.
 
Aisee ni fedheha na matumizi mabaya ya fedha za UMMA yaani kwa TAL wanaweka ulinzi chungu nzima , huyu mama yetu buana 😭
 
Mtu anakua raisi anakuaje limbukeni wa mafaraka ww tukuiteje limbukenibwa simun
 

Naona ulinzi umeimarishwa mitaa ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam, maeneo mengi kuna askari ambao wanaonekana wapo tayari kwa kazi wakiwa na silaha, magari ya maji ya kuwasha, virungu na vingine vingi.
washenzi tu, kwani wanafikiri kuna mtu ana wazo la kufanya fujo ili iweje? Wanataka kusikiliza shauri linavyoendeshwa. Hakuna mwenye nia ya kufanya fujo maana you cannot chieve anything beneficial kwa Lisus release kwa kufanya fujo mahakamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…