Kwa hiyo wamagufuli sasa hivi mmegeuka kuwa wapinzani wa serikali!!!!Acha kutufananisha
Wamagufuli tuko vilevile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wamagufuli sasa hivi mmegeuka kuwa wapinzani wa serikali!!!!Acha kutufananisha
Wamagufuli tuko vilevile
Haya kawanyang'anye silaha harakaharaka.Ni mimi hapa.
Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
Wasukuma mnavyomchukia mam wa watu utadhani ye ndo kamuua Jiwe,kumbe kayafa kajiua mwenyewe kwa corono kwa ubishi wake wa kishamba.Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
Zarau=dharau,musukuma ndo kabila pekee Tanzania ambalo makabila yoteAcha "zarau".
Kwani mi kabila gani?,bebeshi nyanda,kinehe!Una laana ya ukabila wewe.
Mzimu wa huyo jpm wako unazidi kukutafuna na huenda umeanza kila mifupa ya fuvu lako! Kubaki kuwa hayupo na hatoweza kurejea na walobaki wanatosha kufanya majukumu yao kwa ueledi na Ari ileile kwani hakuwa alifanya kazi peke yake!Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
Uhuru ulionao wa kuyaandika haya utakugharimu siku moja mahalo fulani! Chunga Sana vidole vyako vinavyotaipu uharo huu!Rais anayesema ujambazi umeongezeka Dsm kwa sababu ya askari mmoja amehamishwa, bila kuwa hata na taarifa za ndani za huyo askari, hapa hatuna Rais, tuna mzigo tu Ikulu.
Mimi naona hapo anataka tu IGP amtoe Mambosasa na kumleta mtu mwingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama wanaume wa huko wanakimbilia uvunguni wakisika tu paaaaah! Unategemea nani aje awasaidie kama sio kidume wa mkoani..?
Siyo kwamba sasa hatuna tena udikteta! Kwamba sasa kuna ile demokrasia isiyo na mipaka. Acha watu wawe huru bwana.Uhuru ulionao wa kuyaandika haya utakugharimu siku moja mahalo fulani! Chunga Sana vidole vyako vinavyotaipu uharo huu!
Mimi mwanaume.Na wewe ni nani unataka tukusikilize?
Acha uwongo alikuwa mwanafunzi wangu mwaka wa tatu Chuo UDSM.Huyo mambosaa Ni pro-meko, na watu wa dizaini hiyo mama hawataki.
Form four failure huyo mambosaa,
hao warundi walifikia hotel gani!!!Halijojo ni wewe uliye na ubongo ulioganda, hamaanishi kwamba huyo jamaa ni hvyo unavyofikiria wewe, ntakupa mfano., uchaguzi uliopita mwendazake alileta waburundi je Tanzania hakuna Jeshi la polisi imara ku-deal na uchaguzi hasa kwa wananchi ambao hawatumii silaha? Mbona alileta warundi?
Aaah wapi! Labda anakutesa wewe unayeshinda ukimlilia! Wengine hivi sasa tuko huru ila yeye mwenyewe huko alipo bila shaka anateseka vilivyo akichezea mateso ya milele.
Ni kweli, alikuwa rare species indeed! Ni mara chache sana unakutana na binadamu mwenye roho mbaya kama mwendazake. Wengi lazima tu wanasherehekea kifo chake
Naam, legacy kama ya Adolf Hitler ambaye pamoja na kufa na kuwa mzoga kwa miaka zaidi ya sabini bado anakumbukwa kwa uovu wake! Legacy my foot!
Mzee wa chinja chinjaSio Afande Muroto Kweli, mzee wa kipigo Cha Mbwa Koko, Mzee wa unapigwa Hadi uchakae
Sabas ni CP so hadhi inaruhusu kupewa ukamanda wa DSM sababu DSM ni Kanda sio mkoaHuyo kamanda ni Liberatus Matheus Sabas. Jamaa ni noma, kila alipopita majambazi waliufyata. Lakini kwa ngazi aliyofikia sio sawa tena kumleta Dar itakuwa kumshusha, alishavuka hatua hizo mbali.
Nadhani mhe Rais alimaanisha kwamba IGP atengeneze makamanda wengine wa aina ile, na nimemuona akipokea agizo hilo kwa saluti.
Kova nae JK alimuongezea sana mudaMuroto Yupo likizo ya kustaaf nazani ni mwezi huu wa tano ndio anastaaf labda kama wana nia ya kumuongezea muda kama ilivyo kuwaga kwa zelote etc
Kama hukuzaliwa jana na akili zako ziko timamu na lugha haijakuacha kando, ni kweli Hitler anakumbukwa lakini kwa lipi? Soma hii...hitler anakumbukwa kwa uovu!!![emoji38][emoji38],kawaulize wajerumani.wacha kuuliza wajinga wenzako hapo ufipa.
ni kama upewe stry za mao wa wachina ujifanye kumjua kuwazidi,utakuwa kichaa.wenzako wanaishi falsafa zake,na wanaamini wamefuka walipo kwa ajiri yake.
eti jiwe anateseka alipo[emoji16],anateshwa na nani sasa???
Alikuwa akichukua Degree gani mkuu hapo UDSM ?Acha uwongo alikuwa mwanafunzi wangu mwaka wa tatu Chuo UDSM.