Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
Wasukuma mnavyomchukia mam wa watu utadhani ye ndo kamuua Jiwe,kumbe kayafa kajiua mwenyewe kwa corono kwa ubishi wake wa kishamba.
 
Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
Mzimu wa huyo jpm wako unazidi kukutafuna na huenda umeanza kila mifupa ya fuvu lako! Kubaki kuwa hayupo na hatoweza kurejea na walobaki wanatosha kufanya majukumu yao kwa ueledi na Ari ileile kwani hakuwa alifanya kazi peke yake!
 
Rais anayesema ujambazi umeongezeka Dsm kwa sababu ya askari mmoja amehamishwa, bila kuwa hata na taarifa za ndani za huyo askari, hapa hatuna Rais, tuna mzigo tu Ikulu.
Uhuru ulionao wa kuyaandika haya utakugharimu siku moja mahalo fulani! Chunga Sana vidole vyako vinavyotaipu uharo huu!
 
Sasa kama wanaume wa huko wanakimbilia uvunguni wakisika tu paaaaah! Unategemea nani aje awasaidie kama sio kidume wa mkoani..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halijojo ni wewe uliye na ubongo ulioganda, hamaanishi kwamba huyo jamaa ni hvyo unavyofikiria wewe, ntakupa mfano., uchaguzi uliopita mwendazake alileta waburundi je Tanzania hakuna Jeshi la polisi imara ku-deal na uchaguzi hasa kwa wananchi ambao hawatumii silaha? Mbona alileta warundi?
hao warundi walifikia hotel gani!!!

acheni story za udaku.
 
Aaah wapi! Labda anakutesa wewe unayeshinda ukimlilia! Wengine hivi sasa tuko huru ila yeye mwenyewe huko alipo bila shaka anateseka vilivyo akichezea mateso ya milele.

Ni kweli, alikuwa rare species indeed! Ni mara chache sana unakutana na binadamu mwenye roho mbaya kama mwendazake. Wengi lazima tu wanasherehekea kifo chake

Naam, legacy kama ya Adolf Hitler ambaye pamoja na kufa na kuwa mzoga kwa miaka zaidi ya sabini bado anakumbukwa kwa uovu wake! Legacy my foot!

hitler anakumbukwa kwa uovu!!![emoji38][emoji38],kawaulize wajerumani.wacha kuuliza wajinga wenzako hapo ufipa.
ni kama upewe stry za mao wa wachina ujifanye kumjua kuwazidi,utakuwa kichaa.wenzako wanaishi falsafa zake,na wanaamini wamefuka walipo kwa ajiri yake.

eti jiwe anateseka alipo[emoji16],anateshwa na nani sasa???
 
Huyo kamanda ni Liberatus Matheus Sabas. Jamaa ni noma, kila alipopita majambazi waliufyata. Lakini kwa ngazi aliyofikia sio sawa tena kumleta Dar itakuwa kumshusha, alishavuka hatua hizo mbali.
Nadhani mhe Rais alimaanisha kwamba IGP atengeneze makamanda wengine wa aina ile, na nimemuona akipokea agizo hilo kwa saluti.
Sabas ni CP so hadhi inaruhusu kupewa ukamanda wa DSM sababu DSM ni Kanda sio mkoa

Kuna watu watatu wenye cheo kama cha Sabas wametumikia katika cheo hicho katika ukamanda wa polisi DSM
 
Muroto Yupo likizo ya kustaaf nazani ni mwezi huu wa tano ndio anastaaf labda kama wana nia ya kumuongezea muda kama ilivyo kuwaga kwa zelote etc
Kova nae JK alimuongezea sana muda
 
hitler anakumbukwa kwa uovu!!![emoji38][emoji38],kawaulize wajerumani.wacha kuuliza wajinga wenzako hapo ufipa.
ni kama upewe stry za mao wa wachina ujifanye kumjua kuwazidi,utakuwa kichaa.wenzako wanaishi falsafa zake,na wanaamini wamefuka walipo kwa ajiri yake.

eti jiwe anateseka alipo[emoji16],anateshwa na nani sasa???
Kama hukuzaliwa jana na akili zako ziko timamu na lugha haijakuacha kando, ni kweli Hitler anakumbukwa lakini kwa lipi? Soma hii...

As revolting as his legacy is, it is important that he never be forgotten. He was a skilled politician, a brilliant and hypnotic orator, a charismatic leader and organizer, and one of history's most destructive and murderous genocidal criminals.

It is important to have some understanding of Hitler's immense appeal as a politician and as a charismatic personality. He used his skills to lull the German people and to manipulate them into completely misguided and disastrous sense of nationalism.

We have to be alert enough to never allow a person like Hitler to rise to power again.

Sasa mkorinto, ondoa Hitler na German people na weka Magufuli na Tanzanian people uelewe kinachozungumzwa!
 
Back
Top Bottom