Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?


anayeandika haya ni mzungu kama wewe ulivyo sio mjerumani.ungeandikaje!!!

hitler alitamani ujermani itawale dunia,iliposhindikana akaishia kuifanya ujerumani kuwa miongoni mwa mataifa yenye nguvu duniani kwa wakati wake mpaka sasa.

haijalishi wewe na mwingine mnamwonaje,alichofanya kwa ajiri ya ujerumani yake kitakumbukwa na wajerumani wote.
 

Kwenye kitabu cha Historia ya viongozi wa dunia, Hitler, Iddi Amin Dada, Mussolini, Kagame na Magufuli wataandikwa kwenye ukurasa mmoja
 
anayeandika haya ni mzungu kama wewe ulivyo sio mjerumani.ungeandikaje!!!
Hitler mwenyewe alijiua. Wafuasi wake wote waliikimbia Ujerumani na kujificha sehemu mbalimbali ulimwenguni na wanaendelea kuwindwa kama nguchiro hadi leo. Akipatikana hata kama ni mkongwe wa miaka zaidi ya 100 anakamatwa na kushtakiwa.
haijalishi wewe na mwingine mnamwonaje,alichofanya kwa ajiri ya ujerumani yake kitakumbukwa na wajerumani wote.
Wengine tuna bahati ya kuishi bara karibu zote Asia, Ulaya na Marekani. Fika Ujerumani ujaribu kumsifia Hitler uone yatakayokukuta. Kama kawaida watu waovu kama hao huwa na wafuasi wao ambao wanawaabudu kama miungu mtu na ambao wanamganda kama shati lililoloa. Hawa hata ukiwafanya nini hawabanduki kama wewe unavyomwabudu Magufuli....pole sana.
 

umesoma kwa utulivi ulichoandika!!!mbona unajichanganya??

wapinzani wa hitler wanatafutwa na nani wakati wajermani hawataki hata kumkumbuka??

wachana na wajerumani bro,yaani wewe na ngozi yako nyeusi,huna ujermani wowote hata wa kupaka ukamtukane mwanamapinduzi wao wakuchekee!!![emoji23][emoji23]
sioni kosa lao kufuata itikadi za mtu,kama ambavyo mimi sivunji katiba ya chadema nikisapoti itikadi za magufuli rip.
 
Huyo sio mwingine bali ni ACP Camilius Wambura. Alikuwa ZCO wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam...
 
Yes, Ameshakaa Mwanza akiwa OCS akaja Dar na ameshakua RPC temeke ndio akaenda Dodoma Kama sijakosea
Kituo mwatex Mwanza enzi izo huyo jamaa ni hatari kwa majambazi....pia amewai kufanya Kazi Urambo..Watoto wake ni watu wasio na makuu yaan huwezi Amini sio watu wa show off....mkuu bila shaka tunatoka hood Moja ova!
 
Wewe no mjinga sana aisee inamaana darasa lako ulilosoma wote mlikuwa mahiri katika masomo yote?
 
kama kawaida naona mapoti wamenza kujiorodhesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].


niwakumbushe tu mama amekosea namna ya kuadress ile tamko lake lakini lilimrenga IGP mwenyewe,akimaanisha enzi za mahita kulikuwa na kitu cha tofauti kiusalama.
 
Yule jamaa anaitwa wambura pale central[emoji23][emoji23] CID.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Nchi inaelekea halijojo tangu JPM aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemea mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
Huyu mama hana vision yoyote tangible, full drama, au huyo mtu mmoja ndio kawatuma hao majambazi au nijambazi lenyewe.
 
umesoma kwa utulivi ulichoandika!!!mbona unajichanganya??

wapinzani wa hitler wanatafutwa na nani wakati wajermani hawataki hata kumkumbuka??
U mzima kweli wewe…nimeandika wafuasi wake wanatafutwa au bado umechanganyikiwa kama walivyochanganyikiwa waumini wa dikteta uchwara?
 
U mzima kweli wewe…nimeandika wafuasi wake wanatafutwa au bado umechanganyikiwa kama walivyochanganyikiwa waumini wa dikteta uchwara?
wafuasi wake wanatafutwa na nani mbuzi wewe[emoji23][emoji23]

miaka 83 iliyopita utampata mfusi gani wa hitler!!!mimi nazungumzia legacy aliyowaachia wajerumani wewe unazungumzia wafuasi!!!

acheni pombe umri mdogo.
 
Huyo mambosaa Ni pro-meko, na watu wa dizaini hiyo mama hawataki.
Form four failure huyo mambosaa,

Unafeli sana. Huyo Meko unayemtaja. Aliwapa askari heshima na moyo wa kufanya Kazi. Nyuma. Ulikuwa unakamata mtu. Anapiga. Simu. Kesi inakurudia. Alipoingia Wale magaidi wa misituni walikwisha Kama hawajawahi kuwepo Tz. Na kuanzia Hapo majambazi walipotezwa vibaya.

So unapokuwa na ujinga ujinga. Uwe unakumbuka Kuna mazuri mengi sana ambayo watu wasio na upumbavu kama wewe wameyashuhudia kwa faida ya nchi. Hali ilikuwa mbaya sana.

Kwa mtu mchapakazi. Rais wa nchi, Ni Kiongozi sio mgawa hela wala katibu kata. Shida yenu hamna hoja za msingi.

Unajua kila mgonjwa kuna Dozi yake binafsi inafamfaa. Tansania, kama kweli unaielewa JPM alikuwa dozi sahihi. Kamaliza muda Wake Acha akapumzike. Endeleeni na mbwembwe zenu. Sasa tunaye SSH, tumpe heshima yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…