Anataka kusema Mambosasa hafaiRais anataka kusema dawa ya ujambazi Dsm anayo huyo askari mmoja pekee? kwani yeye mafunzo yake aliyapatia wapi tofauti na hawa wengine?
Awe makini na hizi kauli zake, zitashusha ari ya kazi kwa hawa askari waliopo, vyema serikali yake itoe msaada unaohitajika mengine amuachie IGP ayamalize.
Tememe haina Mkoa wa kipolisi?Temeke ni OCD kipolisi.
Kweli Mungu fund, hawezi kukupa kila kitu,kawapa wasukuma maguvu kisha akawanyima akili.Mkuu, Mataga wenzako wa humu wameshaanza kumuunga mkono mama.
Wewe utaanza kuunga mkono lini?
Yaani inashangaza eti leo USSR ni mpinzani wa serikali ya CCM.
Maisha yako kasi sana.
Kabisa nimekaa nae Sana maflet ya buguruni rozana Kama jiran yanguYes, Ameshakaa Mwanza akiwa OCS akaja Dar na ameshakua RPC temeke ndio akaenda Dodoma Kama sijakosea
No temeke n mkoa kipolisiTemeke ni OCD kipolisi.
Yuko Zanzibar nadhaniHuyo Msangi nafikiri kama sikosei, huwa yuko makao makuu baada ya kuhamishwa toka Mwanza ..
Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
Hayo majambazi ni sukuma gang mnataka kumkwamisha mama. Kwani mwendazake yeye alikuwa anatumia nini, siyo kwamba aliwajua na akawaambia wasimsumbue? Au ni wale waganga wenu?. Shenz wakubwa nyie. Muacheni mama afanye yakeNchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
V8Mwache JPM ajifie zake huko,mama yuko vizuri sana.
ππππ
Huyo mambosaa Ni pro-meko, na watu wa dizaini hiyo mama hawataki.
Form four failure huyo mambosaa,
Huyo mambosaa Ni pro-meko, na watu wa dizaini hiyo mama hawataki.
Form four failure huyo mambosaa,
Yes Muliro na Hamduni ndiyo waliohama Dar halafu walikuwa kinondoni na Ilala kwenye majambazi kama yote naAtakuwa Muliro Jumanne Muliro huyo kama sio Mrema.
Ujawahi kuona hata maofisini kuna mfanyakazi Bora? Japo wapo wengi wenye uelewa sawa ila mmoja akawa bora kuliko wengine. Haipunguzi morale kwa wengine ila inaongeza bidii kwa wengine.Rais anataka kusema dawa ya ujambazi Dsm anayo huyo askari mmoja pekee? kwani yeye mafunzo yake aliyapatia wapi tofauti na hawa wengine?
Awe makini na hizi kauli zake, zitashusha ari ya kazi kwa hawa askari waliopo, vyema serikali yake itoe msaada unaohitajika mengine amuachie IGP ayamalize.