Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
Asante Mungu aliyetuondolea balaa mwezi March. Nchi ilikuwa inaelekea shimoni!
 
Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
Mbona yeye alimtegemea Bashite hadi alipoachia uRC wa Dar kwa hiari yake?
 
Nafikiri majambazi watakuwa wanauelewa moto wa huyo poti, watu wamebobea kwenye kazi zao bhana siyo kwenye uaskari tu hata kwenye taaluma nyinginezo, kwa hiyo sioni cha ajabu hapa....
 
Ishu siyo mtu, ni matukio. Huyu IGP aliwahi kuambiwa na Jiwe akiwa RPC DAR awanyang'anye hawa wajinga silaha haraka haraka na ndo maana ujambazi ulipungua wakati ule, leo mama kadokezwa kuwa ule ujinga umerudi so amemkumbusha Siro, asipime kina cha maji. Siku zote majambazi ni Polisi, yaani aendelee pale Jiwe alipoachiwa. MUHIMU, MAJAMBAZI NI ASKARI POLISI, Period

Hawashindwi hao
 
Mtajwa hapo ni RPC wa Mwanza ACP Muliro Jumanne Muliro

Kiukweli tu kama ni huyu basi jamaa ni jembe haswa, hakuna ubishi juu ya hilo kutokana na CV yake
Kwa hiyo mnaona Mwanza hatutakiwi kuwa RPC jembe?
 
Rais anataka kusema dawa ya ujambazi Dsm anayo huyo askari mmoja pekee? kwani yeye mafunzo yake aliyapatia wapi tofauti na hawa wengine?

Awe makini na hizi kauli zake, zitashusha ari ya kazi kwa hawa askari waliopo, vyema serikali yake itoe msaada unaohitajika mengine amuachie IGP ayamalize.
Sawa kabisa. Asijingize kwenye utendaji, mambo ya jikoni hayo
 
Ume mnukuu vibaya hakutoa maelekezo yoyote ya askari fulani kurudishwa Dar ila aliongea kiutu uzima kuwa mitandaoni watu hadi wanasema afande nani.....arudishwe maana alisaidia kukomesha Ujambazi.Usipoelewa kauli hiyo lazima uje na scenario ya afande mmoja lakini kauli hii inawaamsha maafande wa Jiji la DAR ES SALAAM kuwa wamelala.
Kwa ufupi ule ujumbe unaihusu hata ajira ya IGP Sirro mwenyewe. Kwamba akae chini na wasaidizi wake na wajipange kupambana na ujambazi ulioibuka.
 
Yes, Ameshakaa Mwanza akiwa OCS akaja Dar na ameshakua RPC temeke ndio akaenda Dodoma Kama sijakosea
Siyo kweli bana jamaa hajawahi kuwa RPC temeke ila kawahi kuwa RPC kinodoni kabla hajapandishwa cheo nakwenda kanda maalumu kama ZCO
 
Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6

Kwanini huyu mama akiteleza kidogo, mnaanza kelele, mara oh nchi inakoelekea huko, mara jpm tangu aondoke kila kitu kinakufa, mara oh jpm tutakumiss, ma R.I.P ndio usiseme. Mtamtaja sana lakini harudi.
 
Nakumbuka wakati nasoma shule kuna mwalimu alikuwa akiingia kwenye zamu yake ya wiki ilikua hakuna masihara, hata maasikari ndio hivo hivo wapo wenye uwezo tofauti ingawa wanapata mafunzo sawa. Mama piga kazi tupo nyuma yako
 
Back
Top Bottom