pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Mambosasa ni askari bomba sana na mahiri ktk kazi. hana mfano. Hongera sana kamanda MambosasaMama angemfukuza Mambosasa halafu akamleta yule Kamanda Mwarabu mtoto wa Mjini yule Kakomesha Majambazi Kilimanjaro
Lakini Mama pia aruhusu Shisha Bange na Mirungi ili Polisi wakimbizane na Unga na Ngada hatari