Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

Mama anaongoza nchi kwa kutumia mitandao, yani et kaona huko mitandaoni wamemtaja huyo Askari hata jina halikumbuki.

Mama hapa mbona haambiliki?! Why anaendeshwa na mitandaoni? Huo muda anaupata wapi?
 
Thahiri mambosasa kazi imemshinda ndio maana anaongezewa nguvu
 
wafuasi wake wanatafutwa na nani mbuzi wewe
emoji23.png
emoji23.png
miaka 83 iliyopita utampata mfusi gani wa hitler!!!mimi nazungumzia legacy aliyowaachia wajerumani wewe unazungumzia wafuasi!!! acheni pombe umri mdogo.
Hii ndiyo taabu ya kujibishana na hivi viwavi vya jana, bwana mdogo mkorinto koma kubishana na wanaokuzidi akili na umri tafadhali. Hebu soma hapa kuhusu moja wa wafuasi wa Hitler aliyejificha Marekani kwa zaidi ya miaka sabini...

A Nazi war criminal, living safely in the United States until his deportation to Germany last year, has died. He had been the last known World War II Nazi living in the U.S.
 
Rais anataka kusema dawa ya ujambazi Dsm anayo huyo askari mmoja pekee? kwani yeye mafunzo yake aliyapatia wapi tofauti na hawa wengine?

Awe makini na hizi kauli zake, zitashusha ari ya kazi kwa hawa askari waliopo, vyema serikali yake itoe msaada unaohitajika mengine amuachie IGP ayamalize.
Maneno ya SSH yanaweza kuwa na walakini sehemu lakini inawezekana kabisa mkawapa mafunzo watu 100 na kati yao mwenye uwezo wa kuifanya kazi vizur akawa mmoja tu au hamna kabisa

Unakuwa na lundo la polisi umewapa mafunzo lakini kati yao kuna wezi, wasiotenda haki, wala rushwa. Na hata kama mwanzo hawana hizo tabia lakin baadae wanaweza anza hizo tabia.

Mnawapa wote mafunzo sawia lakini kwenye ufanisi wa kazi anaweza akaweza mmoja tu. Sasa hapo dawa ni kuangalia nani ameweza kufanya hiyo kazi vizuri na kama yupo kwanin asiletwe tena kama kuna tatizo linaanza kujirudia? Naona nfo hoja ya Rais.
 
Rais anataka kusema dawa ya ujambazi Dsm anayo huyo askari mmoja pekee? kwani yeye mafunzo yake aliyapatia wapi tofauti na hawa wengine?

Awe makini na hizi kauli zake, zitashusha ari ya kazi kwa hawa askari waliopo, vyema serikali yake itoe msaada unaohitajika mengine amuachie IGP ayamalize.
Ndiyo kabisa na wala hajakosea Bersolona anajulikana Messi tu na ina players 11 .Jaribu kuwa smart kaka pengine huyo askari ana mbinu zake tofaouti na wengine ndio maana akawa smart tofauti na wenzake anajua vizuri kudeal na majambazi ndio serikali inamtaka .
 
Mwanza pia kwa muliro hali sio shwari, nadhani kuna mlipuko wa wizi, ujambazi na ubakaji nchi nzima sio dar pekee.
Niliona Kishiri pale kibaka kafanywa majivu kabisa majuzi Kati hapa
 
Wote tumesikia kutoka kwa Mh Rais alipokuwa anaongea na Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam kuhusu kuongezeka kwa matukio ya ujambazi Jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake (maana Jiji ni Ilala tu) ambapo Mh Rais amemuagiza IGP kulishughulikia jambo hilo na kulikomesha haraka huku akiagiza yule askari aliyehamishwa ambaye ni mahiri kwenye kukomesha majambazi arejeshwe .

Ni askari yupi huyo aliyehamishwa na sasa anatakiwa kurejeshwa ili kudhibiti ujambazi? Ni nani alimhamisha na kwa sababu zipi?
Hawa akina Siro ni wapiga dili wazuri
 
Venansy tossi
 
Rais anataka kusema dawa ya ujambazi Dsm anayo huyo askari mmoja pekee? kwani yeye mafunzo yake aliyapatia wapi tofauti na hawa wengine?

Awe makini na hizi kauli zake, zitashusha ari ya kazi kwa hawa askari waliopo, vyema serikali yake itoe msaada unaohitajika mengine amuachie IGP ayamalize.
Kuna kauli hua zinaua sana morali ya utendaji kazi. 1wapo ni hii kauli ya Raisi. Kwa maana 1 au nyengine ni kuwa huyo askari ndiye aliyewakamata majambazi wooote wa DSM!!

Mama ajue kuwa kauli za JPM ziliwatisha takribani waharifu wote nchini na yeye akilegeza mambo yanarudi yale yale ya awamu ya nne ambapo majambazi walikuwa na nguvu zaidi ya serikali.

Na hasa kwa kauli zake hizi za kukatishana tamaa, kazi ya uharifu itaendelea. Siyo kila jambo alilolisikia toka kwa wasiri wake kwamba ni lazima alisema hadharani.
 
Rais anataka kusema dawa ya ujambazi Dsm anayo huyo askari mmoja pekee? kwani yeye mafunzo yake aliyapatia wapi tofauti na hawa wengine?

Awe makini na hizi kauli zake, zitashusha ari ya kazi kwa hawa askari waliopo, vyema serikali yake itoe msaada unaohitajika mengine amuachie IGP ayamalize.
Ni kiongozi. Usipokuwa madhubuti kila mtu anajiona ana ndevu na wanaacha kusimamia majukumu yao.

Huwa na shangaa kiongozi unashindwaje kutimiza majukumu yako na ukaendelea kubaki sehemu husika.

Ama wewe mwenyewe ujitoe ama utolewa.
 
Back
Top Bottom