Askari polisi wafariki ajalini Msoga

Mbona taarifa haielezi kuwa walikuwa wanatokea wapi na kuelekea wapi?

Pole kwa familia kwa kuwapoteza wapendwa wao.

Tuwe makini mwendo kasi unaua.
 
Polisi huwa wanachekesha sana wanaleta ubabe wao kwenye mwendo kasi
 
Asante sana Mungu Kwa kumnusuru kipenzi Mwanaidi Shabani inshallah aishi maisha marefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…