Shujaasaltry
New Member
- Jan 1, 2020
- 4
- 1
Aisee.. Wapumzike kwa Amani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee.. Wapumzike kwa Amani.
Inasikitisha sana...26,27 na 28 bado makinda sana walale panapowastahiri
Hapa ni police Chalinze.. Pole kwa familia zilizopoteza wapendwa wao
Na huwa wanaovertake everywhere kwa kisingizio cha kuwahi majukumuHuwa hawaogopi tochi kwakuwa wao ndio wanapiga, speed zao zinatisha, sasa huumbuliwa na ajali. Anayway wapumzike kwa amani
Najua hayo ndio maeneo yako ya kujidai. Kuanzia wami Hadi Ruvu. Hapo katikati.Hapa ni police Chalinze.. Pole kwa familia zilizopoteza wapendwa wao
Polisi huwa wanachekesha sana wanaleta ubabe wao kwenye mwendo kasiAjali imetokea leo alfajiri katika eneo la Mavi ya Ng'ombe kwenye Kijiji cha Mboga, Kata ya Msoga baada ya gari iliyokuwa imebeba maafisa wa polisi aina ya Toyata Crester yenye namba za usajili T.323 BAL iliyokuwa ikiendeshwa na Mkaguzi msaidizi wa Polisi, Ndwanga Dastani (28) aliyekuwa akitokea Chalinze kuelekea Lugoba.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Pius Lutumo, ajali hiyo imetokea baada ya gari hilo kuacha njia na kugonga karavati na kisha kupinduka na kusababisha vifo vya watu watatu pamoja na majeruhi mmoja.
Waliofariki kwenye ajali hiyo ni pamoja na dereva wa gari hiyo Ndwanga Dastani, Polisi Konstebo Emiliana Charles (26) waliokuwa askari wa Kituo cha Polisi Chalinze na Karimu Simba (27) aliyekuwa karani wa Mahakama ya Wilaya ya Lugoba.
Aliyejaruhiwa katika ajali hiyo ni Polisi Konstebo Mwanaidi Shabani (25), askari wa Kituo cha Polisi Chalinze ambaye amejeruhiwa maneneo mbalimbali ya mwili na amepelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi.
Aidha taarifa hiyo imesema, uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi.
Miili ya marehemu imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Lugoba.
Azam
Umesoma kwanza au umecomment tu? Chalinze kuelekea Lugoba(Chalinze-Msata road)mbona taarifa haielezi kuwa walikuwa wanatokea wapi na kuelekea wapi?
Pole kwa familia kwa kuwapoteza wapendwa wao.
Tuwe makini mwendo oasi unaua.
Asante sana Mungu Kwa kumnusuru kipenzi Mwanaidi Shabani inshallah aishi maisha marefuAjali imetokea leo alfajiri katika eneo la Mavi ya Ng'ombe kwenye Kijiji cha Mboga, Kata ya Msoga baada ya gari iliyokuwa imebeba maafisa wa polisi aina ya Toyata Crester yenye namba za usajili T.323 BAL iliyokuwa ikiendeshwa na Mkaguzi msaidizi wa Polisi, Ndwanga Dastani (28) aliyekuwa akitokea Chalinze kuelekea Lugoba.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Pius Lutumo, ajali hiyo imetokea baada ya gari hilo kuacha njia na kugonga karavati na kisha kupinduka na kusababisha vifo vya watu watatu pamoja na majeruhi mmoja.
Waliofariki kwenye ajali hiyo ni pamoja na dereva wa gari hiyo Ndwanga Dastani, Polisi Konstebo Emiliana Charles (26) waliokuwa askari wa Kituo cha Polisi Chalinze na Karimu Simba (27) aliyekuwa karani wa Mahakama ya Wilaya ya Lugoba.
Aliyejaruhiwa katika ajali hiyo ni Polisi Konstebo Mwanaidi Shabani (25), askari wa Kituo cha Polisi Chalinze ambaye amejeruhiwa maneneo mbalimbali ya mwili na amepelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi.
Aidha taarifa hiyo imesema, uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi.
Miili ya marehemu imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Lugoba.
Azam
UONGO.Kwa hii damage lazima speed ilikua juu ya 150
Mwambie Chalinze Segera road.Umesoma kwanza au umecomment tu? Chalinze kuelekea Lugoba(Chalinze-Msata road)
Mzee unaizungumziaje 1G-FE kwenye hio body ya Cresta 😀😀😀 tukiachana na ajali, je ni mashine ya kutembelea speed 50 kweli?Vijana na mwendokasi ni kama paka na samaki.
Bila shaka walitanua bila mahesabu wakakutana na semi wakaamua kuitolea ubavuni wakapiga Calvat.Huwaambii kitu wakishamiliki magari yao full mihemko.
Wamewahi siti aheraVijana wadogo sana yani.
Duh Mungu anajua zaidi
Ndoivo kaz ya MunguVijana wadogo sana yani.
Duh Mungu anajua zaidi
Haijawahi kuwa na makosaNdoivo kaz ya Mungu
Kila mwendo una mahali pake na utaratibu wake. Ukikurupuka tu ndio haya yanatokea.Mzee unaizungumziaje 1G-FE kwenye hio body ya Cresta 😀😀😀 tukiachana na ajali, je ni mashine ya kutembelea speed 50 kweli?