Askari Polisi Watano, Mahabusu 8 wafariki kwa ajali ya gari Mlima Sekenke, Singida

Ajali ni nyingi sana aisee kuna jambo inatakiwa lifanyike kwa madereva kuongeza umakini na kukagua chombo kabla ya safari kwa jinsi hiyo gari iliyobeba askari pamoja na mahabausu kupona hapo ni ngumu sana.
RIP kwa makamanda na mahabusu wote..
Poleni wafiwa so pain kuona ndugu alie selo anafia huko huko..
 
Pole sana mahabusu ...hapo Senkeke mimi huwa siwezi kuongozana na lori ni either ni overtake au niyapishe yapite, nikimaliza tu kile kilima huwa wana maspy wao kule chini unamalizana nao unaondoka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…