Askari Polisi Watano, Mahabusu 8 wafariki kwa ajali ya gari Mlima Sekenke, Singida

Ila braza barabara nazo hali yake! Usikute kila mmoja alikuwa anawahi kukwepa shimo!
 
Sijui ni uzembe au la ila wao ndio waangalizi na walitakiwa kuwa extra cautious
 
Comment zimenisikitisha sana,matabaka mawili miongoni mwetu yana chuki ambayo inasababishwa na tabaka jingine kabisa๐Ÿ’”
 
Watu wote wema waliofariki wapumzike kwa amani ๐Ÿ™,na waovu watakutana na haki yao kama kiama kweli kipo.
 
Dereva wa roli siku nyingine avizie wakiwemo polisi tu ili nafsi zetu angalau zipone,Mungu tunashukuru kwa hao watano tukiongeza wawili wa mbeya na mmoja wa tabora si haba kwa mwezi huu,tugange mwezi ujao Tena๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ