mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,840
- 2,381
Kwahy mwanao bora awe kahaba au shogaHapo Wabongo wanafuraha mnoo, ila wakimamatwa mashoga na kuachiwa wanabwataaa, ko mnadhani sheria inachagua eeeh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mtu anayepinga ushoga hapa Tanzania wote ni wabwekaji tu kama rais mwenyewe anasema fanyaneni wenyewe kwa wenyewe muache watoto unafikiri ni nani atatoka kupinga? Mimi binafsi sipendi hayo mambo ila nikiona mtu anafanya sipotezi nguvu zangu hainiathiri chochote. Watanzania wote wabwekaji tu kwenye mitandao hakuna anayethubutu kwenda frontHapo Wabongo wanafuraha mnoo, ila wakimamatwa mashoga na kuachiwa wanabwataaa, ko mnadhani sheria inachagua eeeh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sitapenda mwanangu awe hivyo na siombei lakini akishakuwa hivyo wewe utafanya nini? DNA zake na zako zitatofautiana? Au itaondoa uhalisia kwamba ni damu yako?Kwahy mwanao bora awe kahaba au shoga
kwa hao asingeweza maana wengine wamewachomoa lodge , na hata wangekutwa wanafanya ngono kufanya ngono sio kosa kisheria kiufupi mkuu wa wilaya amembwelaUzururaji inaweza kuthibitishwa kisheria kwa jinsi waliyokamatwa? Mzururaji sifa zake ni zipi?
๐คฃ๐คฃ๐คฃMaofisa utamu ๐คฃ๐คฃ๐คฃjinga sana wwWanadharirika huku na maswali huku aliyewatuma anazunguka na kiti ofisi... hana habari hata kama Maafisa utamu wanamdai B kadhaa.!!
Wakiwa katika madanguro unapata ushahidi,,,lkn barabarani au gesti unafelihahaha kwahyo madada poa si watu wanaouza mwili ila wanatoa huduma Mbona sasa wanatafsiri ni watu wanaouza miili? Na kama wanatoa huduma ya kingono ushahidi unao pia?๐๐
wangeweka mtego kama takukuru kachero ananunua wakati wanazagamuana ndo wamkamate, ni kama unapokamatwa na rushwa ukiipokea ndo wanakukamataUjue kuthibitisha ukahaba ni ngumu sana yakija mambo ya sheria.
Kwa perepeche za mdomoni unaweza kuona ni rahisi tu. Ila kisheria kabisa kuthibitisha kwamba huyu anajiuza ni ngumu
Noma Sana!Jeshi kazi yao iishie kutupq watu maporini mambo smart kama haya wataabika tu, most of them ni form four failures waliofundishwa kutii Amri
Labda hilo danguro liwe limesajiliwa kisheria, vinginevo watasema wamekamatwa wakiwa nyumbani kwao wanakoishi!Wakiwa katika madanguro unapata ushahidi,,,lkn barabarani au gesti unafeli
Labda anabaki na nafsi yaani marehemu, hahaha ๐คฃAkiuza mwili yeye muuzaji anabaki na Nini?
Swali LA re-examintio litakua kuthibitisha Kama ngono ni huduma. Meanwhile uliwakuta barabarani sio wakifanya ngono. Na Kama uliwakuta wakifanya ngono uthibitishe kulikua na transaction na ni kiasi gani(receipt) itahitajika, kwa sababu hapo kuna kukubaliana na kupeana hela Haina maana ya kununuaKiuhalisia akiuza mwili habaki na kitu,,,ishu ni kutoa huduma ya ngono
Bora wangesema wanakodisha utamu๐๐Swali fikirishi kama walikuwa wanauza mwili wamebaki na nini na walionunua wameondoka na nini hahaha ๐คฃ
Wanauza huduma ya kunyumbulika , pia umenikumbusha kale kamchezo ka mama na baba ๐,hivi bado kapo huko dunianiBora wangesema wanakodisha utamu๐๐
Aithibitishie mahakama "huduma ya ngono ni huduma gani ? bila kusahau kutuwekea ushahidi wa huduma hiyo hapa mbele ya mahakama."hahaha kwahyo madada poa si watu wanaouza mwili ila wanatoa huduma Mbona sasa wanatafsiri ni watu wanaouza miili? Na kama wanatoa huduma ya kingono ushahidi unao pia?๐๐
Ndo hivyo wakili anauliza wakiuza miili wao wanabaki na nini, shahidi anabaki kuuma vidole kama anatongozwa!!maana kusema wanauza miili kuthibitisha ni ngumu mno
maafande wetu wanakuaga na akili chache mnoNdo hivyo wakili anauliza wakiuza miili wao wanabaki na nini, shahidi anabaki kuuma vidole kama anatongozwa!!
Hata hiyo ikija kisheria kabisa mkuu kahaba anachomoka.wangeweka mtego kama takukuru kachero ananunua wakati wanazagamuana ndo wamkamate, ni kama unapokamatwa na rushwa ukiipokea ndo wanakukamata