Askari Shahidi ashindwa kueleza maana ya Kahaba na Malaya katika Kesi ya Wanawake waliokamatwa Riverside wakidaiwa kujiuza

Askari Shahidi ashindwa kueleza maana ya Kahaba na Malaya katika Kesi ya Wanawake waliokamatwa Riverside wakidaiwa kujiuza

Hapo Wabongo wanafuraha mnoo, ila wakimamatwa mashoga na kuachiwa wanabwataaa, ko mnadhani sheria inachagua eeeh?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mtu anayepinga ushoga hapa Tanzania wote ni wabwekaji tu kama rais mwenyewe anasema fanyaneni wenyewe kwa wenyewe muache watoto unafikiri ni nani atatoka kupinga? Mimi binafsi sipendi hayo mambo ila nikiona mtu anafanya sipotezi nguvu zangu hainiathiri chochote. Watanzania wote wabwekaji tu kwenye mitandao hakuna anayethubutu kwenda front
 
Hapa ndipo inaonesha mahakama Kuna watu wengi Huwa wanapoteza haki zao Kwa kushindwa tu kuthibitisha.pamoja na kwamba wameshindwa kuthibitisha lakini ni kweli wale ni Malaya(wanauza miili Yao) na sehemu maarufu Kwa uuzwaji Kwa Dar ni sinza,ubungo riverside,temeke mikoroshini,masaki kule samakisamaki,kariakoo,mbezi(lubumbashi)kigamboni yaani Dar nzima imeoza.Na balaa zaidi ni telegram
 
hahaha kwahyo madada poa si watu wanaouza mwili ila wanatoa huduma Mbona sasa wanatafsiri ni watu wanaouza miili? Na kama wanatoa huduma ya kingono ushahidi unao pia?😂😂
Wakiwa katika madanguro unapata ushahidi,,,lkn barabarani au gesti unafeli
 
Ujue kuthibitisha ukahaba ni ngumu sana yakija mambo ya sheria.
Kwa perepeche za mdomoni unaweza kuona ni rahisi tu. Ila kisheria kabisa kuthibitisha kwamba huyu anajiuza ni ngumu
wangeweka mtego kama takukuru kachero ananunua wakati wanazagamuana ndo wamkamate, ni kama unapokamatwa na rushwa ukiipokea ndo wanakukamata
 
Kiuhalisia akiuza mwili habaki na kitu,,,ishu ni kutoa huduma ya ngono
Swali LA re-examintio litakua kuthibitisha Kama ngono ni huduma. Meanwhile uliwakuta barabarani sio wakifanya ngono. Na Kama uliwakuta wakifanya ngono uthibitishe kulikua na transaction na ni kiasi gani(receipt) itahitajika, kwa sababu hapo kuna kukubaliana na kupeana hela Haina maana ya kununua
 
hahaha kwahyo madada poa si watu wanaouza mwili ila wanatoa huduma Mbona sasa wanatafsiri ni watu wanaouza miili? Na kama wanatoa huduma ya kingono ushahidi unao pia?😂😂
Aithibitishie mahakama "huduma ya ngono ni huduma gani ? bila kusahau kutuwekea ushahidi wa huduma hiyo hapa mbele ya mahakama."
 
maana kusema wanauza miili kuthibitisha ni ngumu mno
Ndo hivyo wakili anauliza wakiuza miili wao wanabaki na nini, shahidi anabaki kuuma vidole kama anatongozwa!!
 
wangeweka mtego kama takukuru kachero ananunua wakati wanazagamuana ndo wamkamate, ni kama unapokamatwa na rushwa ukiipokea ndo wanakukamata
Hata hiyo ikija kisheria kabisa mkuu kahaba anachomoka.
Atasema umemtongoza ili awe mpenzi wako na amekubali, ukaamua mwenyewe umpatie hela ya vocha.
Naona bora waachwe tu au litafutwe kosa lingine.
 
Back
Top Bottom