Askari uhamiaji analipia nauli public bus?

Askari uhamiaji analipia nauli public bus?

Wote walipe au serikali iwalipie mabasi hayatumii hewa. Asiyetaka kulipa nauli apakatwe.
Natamani ujirekodi ukiwaambia maneno hayo hao askari alafu ututumie hiyo video hap jf
 
Sasa ulitaka askari ajichekeshe? Majeshi ya wapi hayo?
ndugu usitake kuhalalisha tabia za kijinga na kpmbav kama izo. msione wenzenu km wanaokota ela, iyo ela ni mikopo tu ya benki wanapambana kuizungusha. sasa nanyie mnapigia maesabu ya mpande bure.

akili ya mtu mweusi sikuzote ni kumwangusha mwenzake wote tuwe maskini.
 
Ila hao wote wanategemea amani na usalama kufanya kazi zao.
Kwani huyo askari hamtegemei mkulima Kwa chakula
Askari anategemea kutibiwa na Daktari
Askari anategemea dereva asafiri

Tusijipe umuhimu kuliko wengine
 
Kuna mshikaji tunakaa naye area na tunapanda naye gari zile za saa 11 asubuhi. Huwa analipa kiroho safi tu yani na jioni huwa analipa bajaji powa tu
 
Bora hata watoto wa shule ndio wangekuwa wanapanda bure sio hii mijitu mizima
 
Back
Top Bottom